Mi nimelipia kifushi cha elfu 18 ili nione mpira wizi mtupu mpaka sasa ni no signal
kwani satellite dish sio digital?
heshima zenu wana jf nilikua najiuliza hivi ni kwanini tanzania tusinge adopt system ya dvb s badala ya dvb t kama hizi za startimes, hii dvb t inayotumia minara inaonyesha ni slow kusambaa kwenye kila kona ya nchi. Ni zaidi ya miaka mitatu tangu s times waanze kurusha matangazo dar lakini mpaka leo ni miji michache inapata huduma zao!!!!!!KWA MAONI YANGU Tz INGE ADOPT DVB S INAYOTUMIA DISH LEO HII NCHI NZIMA PAMOIA NA VIJIJINI INGEKUWA NA HUDUMA HII YA DIGITAL TV
Tulikuambia hao jamaa sio wa kuwaamini ona leo tarehe 20 hebu jaribu nenda kawaulize tena wakupe ahadi nyingine.Ifikapo 31 December saa sita Ucku TV zote hapa Africa Mashariki zitazimwa na kuhamishiwa kwenye Vingamuzi kama vile TIG agape ,Startime TBC etc.Hivyo ni sawa kuwa hiyo Tarehe 20 june kuwa hivyo kwani awana jinsi lazima waingie tu kwenye mfumo wa Digital
Ni digital kama unalo dish wewe
nunua tu risiva ya mpeg4 mkuu na utaendelea kuenjoy chanel za bure za
tz na za nje, achana na vingamuz uchwara. dish + risiva mpeg4 ndo kila
kitu.