Starter ya Mitsubishi Pajero io

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,562
Msaada JFs,

Gari yangu imeharibika starter, naomba mwenye kujua gharama na wapi zinapatikana anijuze kabla sijamwachia hela fundi akanipiga cha juu, au yeyote mwenye contacts za wenye maduka ya spares anisaidie.

Gari ni Pajero io 1.8.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom