Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,028
kuhama kwako kusiwe nongwa coz hauna madhara kwa kuwa sio mwanaCDM ENDELEA NA PROPAGANDA ZAKO
Kuandika kwenyewe hujuiHakika!!
Chadema ni dhaidu zaidi pamoja na mapungufu CCM.
Ni bora kuendelea na CCM kuliko hawa ambao hujui wanataka kuja kufanya nn wakishika dola
Nimefanya uchunguzi watu wengi tulioenda shule, yaani tulifaulu std seven, form4, form six, tukapata G.P.A ya haja first degree, Masters....., kazi tukazipata bila figisu..., hakuna anayepiga kelele za kupoteza muda kudai vyeti vya Makonda.., Rakini watu walio reseat Mara kumi kumi, wengine walishinda kuchomoka hata form two, ndio wanashinda mitandaoni kudai vyeti vya Makonda...., Kuna siku nitaanza kuwataja kwa Majina. Mi nadhani kila anayemwandama Makonda ajihoji kwanza yeye shule yake.Nop nop usitutoe kwenye reli leteni vyeti hapa, njaa walizungumza mkasema ni siasa za wapinzani, mdororo bandarini waliongea mkasema walikuwa wapiga madili, hakuna kikao cha kamati kuu kilichokaa kujadili jina la makonda labda umesahau kwamba ni gwajima ndio anashughulikia hilo kama una ushahidi weka hapa, wewe ni mkereketwa wa ccm jana leo na milele, endelea kuisoma namba.
kuamua ni kuchagua............................Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
Jambazi suguWa kongwe wa JF wananitambua.
Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
Ilitosha tu uiambie familia yako,.. Huna ushawishi wowote,.. Ushaweka thread yako nenda kachukue buku 7 yako, kawaambie umeshamaliza ulichoagizwa.. Kwaheri mkuu.Mkuu tafadhali sana.
Sina njaa kama unavyofikiri, na wala sihitaji chochote kulipwa kufanya haya.
Kwanza utambue hakuna kiongozi au mwana lumbumba anae fahqm ID yangu, hivyo sina maslai yoyote ya kifedha au mali kufanya maamuzi haya.
Ibainike wazi hii ni demokrasia, kutoka upinzani kwenda CCM ni demokeasia, naomba utambue hivyo, usiongizwe na hisia, tumia akili kufikiri
Kidumu miaka 100000009999976542Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
Vipi umeasi kambi ?
ni mvuta bangi au cocaine au mwizi tu ndie atakaye kwenda CCM si vyenginenyo. CCM washatawala miaka 55 ni lipi jipya walilofanya wakati nchi inautajiri usio elezekaHakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
Wapinzani ni kama Arsenal kwenye EPL,haweindi mbele,hawarudi nyuma wanachotaka wao ni kubakia tu kwenye mashindano lkn si kubeba kombe.Wanajua gate collection ipo tu ili mradi upo mashindanoni.Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
"Rakini" umesoma sana lakini hujui kuandika, Hivi nyie wasomi wa Tanzania mnashida gani yani wewe leo unasema waliopita straight bila kurudia wote wamepata kazi bila figisu? nahisi una braindamage mimi sijasoma kama wewe ila usomi wako ni hasara kwa hili taifa. Umefanya na research kabisa na umepata majibu hayo kweli wasomi wa leo MADE IN CHINANimefanya uchunguzi watu wengi tulioenda shule, yaani tulifaulu std seven, form4, form six, tukapata G.P.A ya haja first degree, Masters....., kazi tukazipata bila figisu..., hakuna anayepiga kelele za kupoteza muda kudai vyeti vya Makonda.., Rakini watu walio reseat Mara kumi kumi, wengine walishinda kuchomoka hata form two, ndio wanashinda mitandaoni kudai vyeti vya Makonda...., Kuna siku nitaanza kuwataja kwa Majina. Mi nadhani kila anayemwandama Makonda ajihoji kwanza yeye shule yake.