General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
- Thread starter
- #41
Asante mkuu.Hongera sana. Sisi wengine sio wanachama wa chama chochote cha siasa ila busara zinaonesha umefanya uamuzi sahihi
Umeliangalia kwa upeo mpana.
Ni heri kuweka mambo hadharai kuliko kuyaweka moyoni