General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.