Start From Now: I'm CCM, Real CCM

Nimefanya uchunguzi watu wengi tulioenda shule, yaani tulifaulu std seven, form4, form six, tukapata G.P.A ya haja first degree, Masters....., kazi tukazipata bila figisu..., hakuna anayepiga kelele za kupoteza muda kudai vyeti vya Makonda.., Rakini watu walio reseat Mara kumi kumi, wengine walishinda kuchomoka hata form two, ndio wanashinda mitandaoni kudai vyeti vya Makonda...., Kuna siku nitaanza kuwataja kwa Majina. Mi nadhani kila anayemwandama Makonda ajihoji kwanza yeye shule yake.
Kweli mkuu, walioferi ndo wako busy na Makonda as if wao walifauru
 
Hivi kwani hapa Tz vyama ni CCM na CHADEMA tu ? Vyama viko vingi tunaweza kuamua watanzania tukaangalia chama gani kingine kina sera nzuri na tukakipa nguvu na kikajipanga zaidi tukawapa tu dola ili kuachana na hivi vyama viwili.
Mimi nimeamua CCM!!
 
Nimefanya uchunguzi watu wengi tulioenda shule, yaani tulifaulu std seven, form4, form six, tukapata G.P.A ya haja first degree, Masters....., kazi tukazipata bila figisu..., hakuna anayepiga kelele za kupoteza muda kudai vyeti vya Makonda.., Rakini watu walio reseat Mara kumi kumi, wengine walishinda kuchomoka hata form two, ndio wanashinda mitandaoni kudai vyeti vya Makonda...., Kuna siku nitaanza kuwataja kwa Majina. Mi nadhani kila anayemwandama Makonda ajihoji kwanza yeye shule yake.
Exactly!!
Wengi wanao ng'ang'ania vyeti vya makonda ni failure waliosota sana kielimu
 
miaka 50 ya UHURU nchi hii haijawahi kuongozwa na upinzani kwahiyo matatizo yooote mpaka hapa tulipo ni CCM inahusika,je?ni lipi jipya tutalipata kutoka CCM kwa miaka hii kumi wakati imetutawala kwa miaka 50 na bado hali sio nzuri?yani aliyesababisha uozo wooote huu autoe yeye mwenyewe uozo wake halafu ashangilie?nchi nyingi ambazo zina maendeleo ni zile nchi ambazo watu wake wamewahi kushikishana adabu kiasi kwamba hakuna mtu wa kumletea dharau mwingine na pia vyama vinavyoongoza muda mrefu pia vinatatizo la kuwa na dharau ni lazima vitolewe madarakani ili hata vikija kurudi vitakuwa vimepata jambo la kujifunza.
 
Huyu pombe huyu?
Namchukia sana huwa sitaman hata kumuona. Nikiangalia channel yyte ile nikamkuta nabadilisha faster hata kwenye radio hivyo. Sitaki kumsikia kiongoz yyte wa ccm hata awe nani. Ambaye naweza kusikiliza speech zake kidogo Kikwete na Nyerere. Wengine hao ni takataka kbsa. Sijui kairuki, ndalichako, hiyo yote ni taka taka kwangu.
 
Unataka tukusaideje sasa? kama umeamua kuwa mwanaccm mtiifu ni maamuzi yako. Kwa aliyeenda shule na kuufuta ubashite ni dhahiri kwamba wewe ni Lumumba mzoefu tuu ila umeingia humu kupima upepo na thread yako ya kibashite bashite. Otherwise huna jipya tuu...unasaka tonge kama wana Lumumba wenzako. Ni maisha. Hakuna anayeweza kukulaumu. Nchi ya Magufuli ngumu sana. Kila mtu anatafuta namna ya kusogeza siku!
Sawa naamini kakuelewa,ila acha kuquote thread ndefu
 
Hiyo ID nyingine unaogopa nini kuitaja ili tuhakikishe kauli yako!?

Wa kongwe wa JF wananitambua.

Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
 
Wewe uliyeleta uzi huu utuambie kwanza sisiem inafanya nini cha maana sasa hivi. Kuua watu kwa njaa? Kila mahali watu wanalia! Sort out your home first before you talk about chama tawala which is hated by over 50% of people. Ask me.
 
Back
Top Bottom