Stars/Msumbiji Live update!

toka uwanja uzinduliwe ABID KASSIM BABI ndo mchezaji wa kwanza kufunga goli katika huu uwanja mpya toka uzinduliwe.
 
Maaaan ...nimekaa hapa uwanjani naangalia sijua ntatoka nimenywea au nachekelea!!
 
ameingia Hussen Javu na kutoka Vcent Barnabas. boko bado hajabadilishwa. yumo.
 
vicent katolewa wakati ana uhai. javu hana malengo japo anacheza.
 
Hicho kiingilio ulicholipa kwenda kuangalia mechi walahi ungeenda kula zako kiti moto....:eyebrows:
mwache ndio katua town dar...lazima atembezwe kona zoote....dream yake imekamilika kufika uwanja mpya.....
 
tanzania kama wataendelea na mpira huu watafungwa mda si mlefu.
 
Mpira wa kibongo huwa unachezwa mdomoni mtu..then kwisha kazi wakiingia uwanjani watu wanakuwa wanafukuza upepo tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom