:welcome:Katika ulimwengu huu hususan nchi ya Tanzania kila mtu anacho kitu akipendacho kuliko vingine
Naomba kuuliza ni starehe ipi ambayo imeweza kuteka akili za watu wengi (majority) ambayo kwa uhakika utasikia kwenye kila kona ya mkoa wa nchi yetu.
Starehe haijalishi ni nzuri au ni mbaya ila tunachoangalia majority are involved in it!
Je ni :
1. ULEVI
2. NGONO
3. UFISADI
4. UNAFIKI
5. USENGENYAJI
6. UCHAWI
7.......
8......
9......
10.......
Uongo, Ufitini na Utapeli

utapeli ni starehe:nimekataa??hapana naomba definition ya starehe plzz