kaacha bangi au anazuga
Aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva Stara Thomas sasa amempa Bwana Yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama Sikia, Sitorudi nyuma, my body na Chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie alioshirikishwa na AT.
Nilipata wito kutoka kwa Yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha alisikika akisema Stara
Awali alikua akiabudu dhehebu la Jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la Shalom lililoko Mbezi Salasala! Karibu kwa Bwana Yesu Stara!
Source: Stara Thomas ameokoka! « Strictly Gospel
Afadhali! aache kile kitu cha arusha...
Ray C si nae aliokoka halafu akarudi kwa kundi la kushoto?
amen
aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva stara thomas sasa amempa bwana yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama sikia, sitorudi nyuma, my body na chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie alioshirikishwa na at.
"nilipata wito kutoka kwa yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha" alisikika akisema stara
awali alikua akiabudu dhehebu la jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la shalom lililoko mbezi salasala! Karibu kwa bwana yesu stara!
source: stara thomas ameokoka! « strictly gospel
kaacha bangi au anazuga
Huyu Bi-Dada nilimu-watch jana EATV akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha "Wanawake Live".. Nilikuwa shocked na majibu aliyoyatoa kuhusu "Mabomu ya Gongo La Mboto"!
Mtangazaji: Unaongeleaje kuhusu matatizo ya G'Mboto?
Stara: Matatizo mengine ni ya kujitakia... Mume anapojenga nyumba hakikisha umshauri asijenge karibia na Kambi za jeshi... Nasikia wengine waliambiwa lakini wakawa wabishi...Blah Blah...
!
!
She was sounding like "Debe Tupu..."