samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
mkuu namimi nipo moro nazani ni miezi mitatu sasa siipati sta tv na itv
mkuu namimi nipo moro nazani ni miezi mitatu sasa siipati sta tv na itv
Umechelewa ku-report, tutalifanyia kazi hili tatizo lakini inachukua kama masaa 72, hivyo hutaweza kuona uzinduzi wa Kampeni za Chadema.
Tutajitahidi kufanya kila liwezekanalo uone uzinduzi wa kampeni za CCM (kama watazindua kweli) na vyama vingine.
Asanteni na poleni kwa usumbufu.
nipo morogoro sipati star TV kwa mda wa miezi miwili sasa,nashindwa kuelewa nitatizo langu tu? au nitatizo la wanamorogoro wote??nisaidieni niweze ungana na uzinduzi wa kampeni za wana CDM huko ARUSHA
star tv walibadirisha simborete na wewe itabidi ubadili kwenye risiva yako weka namba hizi fr 3886vsr4900 ukishindwa ni pm nipo hapa kasoro meli
kwakweli chaneli karibu zote za Tz ambazo ziko kwenye hii sateliti ya intelsat 906 @ 64e zinapatikana kwa shida kupitia dish la futi 6 TBC kidogo ina nafuu sijui tatizo hili liko kwenye sat au uplink za tv zetu.