Star TV yakinzana na TCRA

Kwenye vita kama hivi, siku zote tunaoumia ni walaji, watu tulinunua kisimbuzi kwa makubaliano kuwa channel tano muhimu za tanzania zitakuwepo. sasa TV moja baada ya nyingine zinaanza kujitoa. Haki yangu kama mtazamaji inalindwa vp?
 
I stand to be corrected bt nimesikia Star Tv wakisema Startimes wanauza vipindi vyao (meaning kwenye nchi nyingine ambazo hawa Startimes wapo).. Mfano kama ilivyo kwa citizen hapa Tanzania.. Ili uione Citizen Tv ya Kenya kwenye Startimes inabidi uilipie..

thanks Mkuu, nilikuwa sijawasoma kabisa
 
sawa sawa star tv.achaneni na manyang'au wanaolindwa na TCRA hao.wanapenda free wao wapate faida.upuuzi tu.channel yenu tupia continental.
 
Safi sana Star TV ili serikali hii ya kifisadi iache kujiafanyia mambo kiholela
 
startv pigana mpaka mwisho cku ya kujitoa ITV tunawafukuza startimes ndo mana uhuru kenyata aliwambia waitoe televisheni ya taifa KBC
 
Back
Top Bottom