Star TV yakinzana na TCRA

Star tv ni Kampuni yenye mitambo yenye nguvu kuliko tv zote Tanzania.

Hivyo hawaweazi kubabaishwa na star times,nawaunga mkono star tv kwa madai yao.!
 
Tatizo kupeana kazi na kupenda kuita waandishi wa habari bila kufikiri
 
Hivi hii startemes haina mkono wa fisadi kweli???
Well done start tv, huu ni ushenzi hao tcra wanataka kutuambia nini kama sio kuwatengenezea wachina ulaji, hivi serikali yetu ina tatizo gani jamani? Hebut watanzania shime tusimame upande wa star tv, wakizuia matangazo tuandamane mpaka kieleweke, kwanza kuna utata tayari juu ya clouds na hawa start tv ambao mpaka leo huyo prof nkoma ameshindwa kuutatua, tuuizeni sisi tuliokaribu na wamiliki wa hivi vyombo, hawa wachina ni kiburi kuliko takataka yoyote, wamezoea kutoa kitu kidogo na kutukanyaga wazawa kam amatope, sasa hapa ndio na vyombo na waandishi tuungane tuwateneneze hawa washenzi
 
Lakini Star Tv mbona hata kwenye Easy Tv haionekani ghafla japo si moja ya channel za local (free channel)
au nako pia mmejitoa???
 
Hawa Star times wezi sana,kwenye king'amuz cha Continental(star tv) channel20 bure,wakati star times bure ni local tu tena zipo nne tu,hawa TCRA ni wasanii wataka kutuendesha kama punda,tumechokaa na huu usanii

Hicho king'amuzi cha continental kuna local channels ngap?
 
wakuu,sijaelewa vzuri malalamiko ya sahara media dhidi ya startimes,wanasema kuwa startimes wanafanya nini juu ya matangazo yao?,naulizwa na wananchi huku najikanyagakanyaga tu,nisaidieni
 
TCRA mambo wanayofanya chini ya mkurugenzi mkuu wao yanatia shaka. Wanawapendelea wageni na kuwakandamiza watanzania. Toka alivyotangaza kuwa mwezi wa tatu bei za simu zitashuka mpaka leo hajatoa tamko lolote. Hivi watanzania tunamhitaji mkurugenzi wa aina hii? Prof. Nkoma ni Bomu. Kwa maslahi ya watanzania na serikali yao mtu huyu aondolewe kwa sababu ataleta madhara makubwa. Maamuzi yake yanaonesha anatumia nafasi yake kwa maslahi binafsi. Kama anatumiwa na baadhi ya viongozi wa serikali kwa hila basi aache, la sivyo hasira za wananchi zitahamia kwa serikali. Suala la ving'amuzi na bei za kupiga simu ni matatizo nyeti kwa kipindi hiki nashangaa viongozi hawalioni.

Mpendwa; unasema anapendelea WAGENI? labda na yeye ni mgeni
 
Tukisema Rais dhaifu kunawatu wanatoka na POVU haiwezekani inakuja kampuni toka nje inangia ubia wakizushi na TBC wa mabilioni wao hawtoi hata kumi then watuuzia vingamuzi hovyo kabisa na bado wanatakurusha matangazo ya vituo vingine bila mkataba unaoeleka huku wakituzia vingamuzi.
 
Ni maajabu kuwa serikali, kupitia TCRA inawalazimisha Star TV kufanya kazi na Star Times pasipo makubalino yoyote ya kimaandishi!
Napata mashaka kidogo kuona taasisi kama TCRA ambayo nilikua naamini inaongozwa na wasomi wenye weledi wa masuala ya mawasiliano wanafanya mambo kienyeji!
Kama maprofesa ambao ni wasomi wajuu zaidi nchini wanafanya mambo kienyeji, ni nani atatusaidia kujenga taifa imara?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
WASOMI!!!!!!!!TZ Kwenye serikali hii ya JK!!!!hamna kitu mbona maprofesa wapo wengi tu lakini elimu zao hazina tija kwa mtanzania wote wamezama kwenye ulaji tu.umesahau hao TCRA walituhumiwa kuwasomesha wafanyakazi wao wawili nje ya nchi kwa bilioni mbili na nusu.sikuwahi kuona imekanushwa popote.
 
Mie nilishaamia zangu digitek machaneli kibao including star tv na hamna malipo ya mwezi, picha nzuri, kustack kupo lkn afadhali kuliko startimes. Nilikipenda digitek kwa sababu kuna emmanuel tv
 
Mie nilishaamia zangu digitek machaneli kibao including star tv na hamna malipo ya mwezi, picha nzuri, kustack kupo lkn afadhali kuliko startimes. Nilikipenda digitek kwa sababu kuna emmanuel tv

Hii nchi kila mahali imeoza kazi ya Serikali ni kumbatia wageni,TCRA wao kwanini wanawatetea hao Wachina?na je kwanini DSTV wao hawaonyeshi chennel za bongo wakati TCRA walishatoa maelekezo kuwa local channel zote ziwe znaonyeshwa free?hao DSTV na ZUKU mbona wao hawaonyeshi local channel free kama walivyo agizwa na TCRA?huu ni uonevu Star TV wako sahihi kabisa
 
TCRA waache kuwakumbatia wageni,tatizo la nchi hii kila mahali ni udhaifu tu mzawa ukiwekeza kwa wengine ni kero ila yote yana mwisho,VIVA STAR TV
 
wakuu,sijaelewa vzuri malalamiko ya sahara media dhidi ya startimes,wanasema kuwa startimes wanafanya nini juu ya matangazo yao?,naulizwa na wananchi huku najikanyagakanyaga tu,nisaidieni

I stand to be corrected bt nimesikia Star Tv wakisema Startimes wanauza vipindi vyao (meaning kwenye nchi nyingine ambazo hawa Startimes wapo).. Mfano kama ilivyo kwa citizen hapa Tanzania.. Ili uione Citizen Tv ya Kenya kwenye Startimes inabidi uilipie..
 
Back
Top Bottom