nimefikiri sana, jambo ambalo ni gumu sana kukubalika na CHADEMA, BADALA YA KUMUWEKA slaa awe mgombea, muwekeni lipumba na chadema wote na cuf mpigieni kampeni lipumba, tutaweza kumshinda kabisa magufuli, ila tukigawana kura kama kiwete alivyokuwa anasema jana, lipumba atachukua zake chache chadema chache na nyingi watabaki nazo kina maccm. chukueni ushauri huu. mimi ni chadema lakini nimefikiri sana namna gani tunaweza kumvunja shingo huyo nyoka anayeitwa ccm, nikaona bora tujifanye wajinga tu tumpe profesa.
added advantage ya lipumba ni kwamba kura zote za zanzibar zitaenda ukwawa kwasababu zanzibar wana udhaifu wa uislam hivyo wanampenda lipumba. pia kuna kundi kubwa la wabara ambalo hawapigii mtu kwasababu ni mzuri bali wanampigia mtu kwasababu ni muislam hasa profesa lipumba, udhaifu huo upo vichwani mwao na hawawezi kubaldilika kumpigia padre. wakristo ni waelewa wanaweza kuwa flexible wakampigia lipumba lakini ni tofauti kwa upande huo mwingine. hakika yake mkimuweka lipumba urais utaenda ukawa.Mkuu wazo la kuungana nalikubali vizuri kabisa, ila hebu elezea hapa, kwa chaguzi zote walizoshiriki ni kuwa Dr Slaa alipata kura nyingi zaidi ya Prof Lipumba. Sasa ni kitu gani kinampa Lipumba added advantage juu ya Dr Slaa?
Nàamini sana katika John Magufuli!
Dr. Magufuli mwepesi sana. Si ndiye aliyeshiriki kuiba nyumba .za serikali?
Hivi unadhani Wazanzibar wanafikiri kama wewe?unadhani watampa kura Dr Slaa?Nampenda sana Dr Slaa na nadhani ana sifa za kuwa rais,ila sina uhakika kama atashinda.Tundu Lissu anaweza kuwa chaguo salama.Hatuchagui kwa kigezo cha upya wa mtu. Hatuangalii dini ya mtu wala kabila wala atokako. System ya CCM ndiyo imechoka na kuchokwa na imezeeka. Mtu mpya wa CCM ni kama kuweka kiraka kipya kwenye nguo kuukuu. Kiraka kipya kitachana nguo zaidi ya kuiimarisha! Inatakiwa kuoverhaul syatem yote. Dr. Slaa anatosha!!
Hivi unadhani Wazanzibar watampa Magufuli kura? Kwa kigezo kipi? Kama wana sababu ya kumkataa Slaa, sababu hiyohiyo wataitumia kumkataa Magufuli. Watu wamechoka na system inayotawala! Kwa vyovyote afadhali iondoke!Hivi unadhani Wazanzibar wanafikiri kama wewe?unadhani watampa kura Dr Slaa?Nampenda sana Dr Slaa na nadhani ana sifa za kuwa rais,ila sina uhakika kama atashinda.Tundu Lissu anaweza kuwa chaguo salama.
cuf wameamua kujimaliza huku bara
Dr ana mtaji wa kura 2010 ikiwemo ya kwangu ....
Mkiweka tamaa pembeni dr slaa anafaa sana tu