Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,839
- 7,502
Wamehojiwa Prof Lipumba na Huyu mbunge wa Mhambwe ambaye amemwakilisha mwenyekiti wake ambaye inasemekana ni mgonjwa.
Kafulila amehojiwa na mtangazaji wa Star kwamba hamuoni kuna chama kinaweza kuwazidi wenzake akajibu kwenye umoja wowote lazima kuna kutoa na kupokea na sio lazima mulingane kama ilivyo kwenye UN, Tanzania na Marekani. Akaulizwa kuhusu Mbatia kutokufika je ni kususa ama kujitoa akasema ni udhuru.
Lipumba amesema kila kitu kitakuwa wazi si leo bali baada ya mambo madogo madogo kufanyiwa rejea yaani consultation, akasema umoja bado upo na maelewano ni makubwa wanamalizia issue za ubunge na udiwani.
Nadhani wametaimu CCM wako busy huko Dom na wao wanajinafasi Dar.