Star TV, UKAWA wapo Millenium Tower Live

Star TV, UKAWA wapo Millenium Tower Live

added advantage ya lipumba ni kwamba kura zote za zanzibar zitaenda ukwawa kwasababu zanzibar wana udhaifu wa uislam hivyo wanampenda lipumba. pia kuna kundi kubwa la wabara ambalo hawapigii mtu kwasababu ni mzuri bali wanampigia mtu kwasababu ni muislam hasa profesa lipumba, udhaifu huo upo vichwani mwao na hawawezi kubaldilika kumpigia padre. wakristo ni waelewa wanaweza kuwa flexible wakampigia lipumba lakini ni tofauti kwa upande huo mwingine. hakika yake mkimuweka lipumba urais utaenda ukawa.

so unamaanisha Waislam ni wadhaifu?
na Wakristo ni waelewa? faizafoxy njoo uone huku........
 
Mkuu unajisumbua bure Chadema hawawezi kukubali bora kila mtu aingie kivyake kwenye uchaguzi wapate kura mbili mbili.

Kwani lazima cdm wakubali? kwa nn isiwe cuf wakubali kuwaachia cdm?
 
Kwani Ukawa Ndo Chadema? Nijibuni Make Mi Ni Mgeni Kwenye Nnji Hii
 
so unamaanisha Waislam ni wadhaifu?
na Wakristo ni waelewa? faizafoxy njoo uone huku........
ndio, ni wadhaifu na mdhaifu wa kwanza ni huyohuyo faizafoxy, wana udhaifu mkubwa sana wa kuvumiliana. wako tayari wampigie mtu asiyefaa kuliko kumpigia kkafiri, ndio maana nikasema bora tukubali yaishe tumweke lipumba ili waridhike na tuungane nao kuwachapa ccm.
 
Tell us where the problem? Ni vema kuamua mapema, maamuzi mabaya siku ya mwisho ni hatari sana.
 
Wamehojiwa Prof Lipumba na Huyu mbunge wa Mhambwe ambaye amemwakilisha mwenyekiti wake ambaye inasemekana ni mgonjwa.

Kafulila amehojiwa na mtangazaji wa Star kwamba hamuoni kuna chama kinaweza kuwazidi wenzake akajibu kwenye umoja wowote lazima kuna kutoa na kupokea na sio lazima mulingane kama ilivyo kwenye UN, Tanzania na Marekani. Akaulizwa kuhusu Mbatia kutokufika je ni kususa ama kujitoa akasema ni udhuru.

Lipumba amesema kila kitu kitakuwa wazi si leo bali baada ya mambo madogo madogo kufanyiwa rejea yaani consultation, akasema umoja bado upo na maelewano ni makubwa wanamalizia issue za ubunge na udiwani.

Nadhani wametaimu CCM wako busy huko Dom na wao wanajinafasi Dar.
Me nawaomba wakija waje vizuri wasituangushe!
 
Ushauri wangu katika nafasi ya mgombea mwenza wamchukue yule waziri wa sheria aliyejiuzulu kisha kuhamia CUF
 
Wamehojiwa Prof Lipumba na Huyu mbunge wa Mhambwe ambaye amemwakilisha mwenyekiti wake ambaye inasemekana ni mgonjwa.

Kafulila amehojiwa na mtangazaji wa Star kwamba hamuoni kuna chama kinaweza kuwazidi wenzake akajibu kwenye umoja wowote lazima kuna kutoa na kupokea na sio lazima mulingane kama ilivyo kwenye UN, Tanzania na Marekani. Akaulizwa kuhusu Mbatia kutokufika je ni kususa ama kujitoa akasema ni udhuru.

Lipumba amesema kila kitu kitakuwa wazi si leo bali baada ya mambo madogo madogo kufanyiwa rejea yaani consultation, akasema umoja bado upo na maelewano ni makubwa wanamalizia issue za ubunge na udiwani.

Nadhani wametaimu CCM wako busy huko Dom na wao wanajinafasi Dar.

Kwa kumtoa Lowassa CCM mwaka huu kitakuwa chama cha upinzani
 
Dedication kwa UKAWA

UKAWA wataisoma namba,wataisona namba CCM mbele kwa mbele.......!
Waache waandamane,watasaga rami CCM mbele kwa mbele.....
Cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom