Star tv,tbc,ch 10

Au nakosea hio sabuni kuiweka vzr, nimeisogeza krb na mdomo nimeizungushia selotape au nakosea wapi? Nikiipata startv tu bas tatulia , af dish langu pale kati sjaliziba lile tundu au nayo ni sababu? Nipe utundu wa mwisho mtaalam

tatizo 6ft nunua 8ft hautasumbuka.
 
Huku naambiwa dish pekee ni laki mbili na nusu, mh. Kwangu gharama af nahofia nisjelinunua kwajil ya local chnl af ikifika mwez 12 wafanye mambo ya ATN kuhama kabisa, nahc itakula kwng, thats nilkua natafta njia mbadala
 
Back
Top Bottom