Dish la kawaida na Receiver ya kawaida

Dish la kawaida na Receiver ya kawaida

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Naomba kujulishwa kwa anayefahamu haya mambo,Mimi ninatumia dish la kawaida kupata local channel,ITV,STAR TV,TBC,CHANNEL TEN,Je ikizimwa mitambo ya Analogia nitaendelea kupata matangazo ya channel hizo kupitia Hilo dish?
 
utaweza kama kawaida, ...ila....!... mbona kama mitambo hiyo ilishazimwa kitambo? labda kama kuna mikoa bado maana walikuwa wakizima kwa kanda,.
 
dish lenye receiver ni digital tayari. Usijali, kuzimwa kwa analogi hakutakuhusu! Utaendelea kupata makamuzi kama kawaida!
 
Nashukuru sana mkuu kwa kuniondoa shaka...asante sana.
 
Nashukuru sana mkuu kwa kuniondoa shaka...asante sana.

Wewe ulishahamia Digital ila hukujua!!!!! chakufanya hapo ni kuongeza LNBF ya C-Band na KU ili kupata uhondo zaidi mkuu!!
 
utaweza kama kawaida, ...ila....!... mbona kama mitambo hiyo ilishazimwa kitambo? labda kama kuna mikoa bado maana walikuwa wakizima kwa kanda,.

walizima analog kwa maana ya wanaodaka channels kwa antenna. kuwa na dish regardless ni dish lipi na inatumia receiver gani tayari ni DIGITAL.

sema wengi tunadhani digital ni habari ya zuku, dstv and the like.
 
Back
Top Bottom