Mgjd
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 531
- 95
Tafadhalini nisaidieni,sijuh ni mimi tu au na wengine mnapata shida ya kupata STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwenye satellite dish siku hizi? Nimejaribu kuset upya dish,na mara zote nimeambulia kupata TBC kwa muda mfupi tu kisha inatoweka. KWA STAR TV HAIPATIKANI Kabisaa. Je kuna madiliko ya freq ama? Kwa anayefahamu ebu anisaidie tafadhali.