Star TV should declare their interest

Star TV should declare their interest

ACHENI UNAFIKI Humo, Hivi Jinsi Inavyorusha Hbr Kwa Usawa Mkubwa Mno!! Wapi Wanaorusha Hbr Za Usawa Kama ITV!!?? Kuanzia Za Mgombea Urais Wa ACT, CHAUMA, TLP, CCM Na CHADEMA!! Zoooote Hbr Moja Tu!! HEBU Tazama Chanel Ten, TV 1, Clouds TV, TBC 1 Na Startv!! Tena FANYENI HIVYO Leo Hii, Alafu Ndio Mrudi Humu, Kutoa Comments!!! Hata Mtu Mnamchukia Vp, Ila Haki Yake Mpeni Tu!! ITV Iko Fear Mno!!
 
Mbona Wewe Uko Ki Uanachama Zaid Watu Wanaongelea Uhalisia Ni Kwel Kuwa Star Tv Inatumika Kisiasa Au Fungua Redio Free Hata Vipind Vya Kawaida Wanapiga Nyimb Za Chama Huo Ni Ufedhuli
 
Alaf Mtu Anakuja Ku Comment Ujinga Wakat Vyomb Vya Habar Ndo Njia Rahs Ya Kupeleka Ujumbe Kwa Wananch Je Kama Vinatumika Kisiasa Si Ndo Upunguan Watu Wanataka Habar Wao Wako Ki Maslah
 
Nilikua natumia king'amuzi chao, ukweli mimi kama mteja sikua na namna nyingine ya kuwaadhibu Star tv zaidi ya kuachana na king'amuzi chao.
 
Ya Mungu mengi hivi matokeo yakiwa ni kumtangaza Lowassa kuwa rais wa JMT watafanyaje?na maisha baada ya hapo na vile vipande vyao vya kumuonesha rais na watu mbalimbali kuwa anagawa bahasha za rushwa,.sitashangaa kama na wao watakuwa mstari wa mbele kurusha habari za kukataa matokeo.
 
StarTv mie naangaliaga BBC tuu ya saa tatu usiku juma tatu mpaka ijumaa, nje ya hapo sina mpango nayo.....
 
Kwa bongo si lazima sana kudeclare interest! actions speak louder
 
Wewe kama unataka kususa susa peke yako sio utafute uungwaji mkono kwa jambo la kijinga kama hilo. Mbona huongelei ITV ambayo imekuwa kama UKAWA TV? kila siku kulalamika bila hata kuwa na sababu za msingi, wakati dialo anaanzisha star Tv ulimsadidia hata senti tano? Kumbuka hiki ni chombo binafsi na sio cha uma kama TBC, Ukitaka angalia hutaki yote haituhusu kabisa.
Kanisemea na mimi.
 
Star tv is heavily indebted and the whole family is excited with this opportunity. Many banks are putting lots of pressure on management of star tv, ccm could come at a better time for them
 
Star Tv imenunuliwa na Ccm na Itv imenunuliwa na Lowassa
 
Back
Top Bottom