Kituo hiki cha luninga cha Star TV kimejianika kama sehemu ya kampeni na propaganda za chama kimoja ambacho ni CCM. Habari zake,mijadala yake,matangazo yake na hata watangazaji wake wote wapo kiCCM.
Kimsingi,hilo si jambo jema kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi. Wananchi tuna haki ya kujua mambo ya vyama tofauti ili tuamue. Kuzungumzia na kupigia debe chama kimoja si sawa.
Binafsi,nimeamua kutotazama tena Star TV na kuwaachia wafuasi wa CCM. Star TV waendelee na kampeni na propaganda zao kadiri watakavyo. Kwaheri Star TV,kwaheri TV ya CCM.
Wewe ulilipia matangazo ya hicho chama chako wakakataa kurusha? wale ni wafanyabiashara na mitambo yake kainunua kwa garama, ina garama z uendeshaji pamoja na kuwalipa wafanyakazi. Kama wenzenu wananunua muda wa hewani ninyi mnataka mrushwe bure? mbona jana walikuwa kidongochekundu hukulalamika?Kituo hiki cha luninga cha Star TV kimejianika kama sehemu ya kampeni na propaganda za chama kimoja ambacho ni CCM. Habari zake,mijadala yake,matangazo yake na hata watangazaji wake wote wapo kiCCM.
Kimsingi,hilo si jambo jema kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi. Wananchi tuna haki ya kujua mambo ya vyama tofauti ili tuamue. Kuzungumzia na kupigia debe chama kimoja si sawa.
Binafsi,nimeamua kutotazama tena Star TV na kuwaachia wafuasi wa CCM. Star TV waendelee na kampeni na propaganda zao kadiri watakavyo. Kwaheri Star TV,kwaheri TV ya CCM.
Tanzania njaa sana,wafanyakazi wenyewe wanalazimishwa kuwa wana CCM maana Tv gani wanawaza CCM tuu na TCRA kimya kama hawaoni mkuuKituo hiki cha luninga cha Star TV kimejianika kama sehemu ya kampeni na propaganda za chama kimoja ambacho ni CCM. Habari zake,mijadala yake,matangazo yake na hata watangazaji wake wote wapo kiCCM.
Kimsingi,hilo si jambo jema kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi. Wananchi tuna haki ya kujua mambo ya vyama tofauti ili tuamue. Kuzungumzia na kupigia debe chama kimoja si sawa.
Binafsi,nimeamua kutotazama tena Star TV na kuwaachia wafuasi wa CCM. Star TV waendelee na kampeni na propaganda zao kadiri watakavyo. Kwaheri Star TV,kwaheri TV ya CCM.
Kwani yule gwajima hajui kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi,hajui kuwa kabisa Lina waumini wa itikadi ya vyama mbalimbali,mbona kajiingza kichwakichwa kumkampwnia fisadi na sisi tunafanya hivyohivyo,sasa kelele za nini?
Kumhoji Mwigulu si kosa, kosa ni kumuacha atambe bila kubalance mahojiano
mbona akihojiwa msigwa husemi kuwa anatamba kwani unashida gani na mwigulu.
Tanzania njaa sana,wafanyakazi wenyewe wanalazimishwa kuwa wana CCM maana Tv gani wanawaza CCM tuu na TCRA kimya kama hawaoni mkuu
Sisi ni mabadiliko tu hata media zote wachukue tumeamua
Nimekuwa nikiifuatilia Star TV kwa muda mrefu hata kabla mchakato wa uchaguzi haujaanza. Niliifurahia kwa sababu walikuwa wakiita wachambuzi ambao wanachambua kwa kutumia independent mind.
Toka mchakato wa uchaguzi uanze hii TV imeanza kupoteza credibility, wanaita wachambuzi huku wanawapangia nini cha kuongea, unawaona watu wazima wanaongea mambo ambayo hayapo kwenye nafsi zao. Nimejaribu kufanya utafiti kupata habari za ndani kulikoni, mtu mmoja aliyepata za ndani ni kwamba Star TV imelipwa na CCM kufanya upendeleo wa makusudi katika habari na uchambuzi wake. Mtu huyu ameenda mbali zaidi akasema wamehakikishiwa na CCM kwamba hata wakipigwa faini na TCRA kama walivyofanyiwa Magic FM na TBC CCM wako tayari kulipa faini!
Ni jambo lililo wazi kwamba Star TV inamilikiwa na kada wa CCM Diallo, hilo halina ubaya na ana uhuru wa kikatiba kufanya hivyo. Kinachosikitisha ni kujifanya wako balanced wakati sisi watazamaji tunag'amua. Katika nchi zilizoendelea baadhi ya vyombo vya habari huwa vina declare interest katika uchaguzi kwamba wanaunga mkono chama au mgombea fulani. Kwa hiyo nawashauri star TV watutangazie wazi kwamba katika mchakato huu wa uchaguzi wanaunga mkono CCM bila kificho, tutawaheshimu kwa hilo na hiyo ni sehemu ya demokrasia ya kweli.
Nawasilisha