Mlingwa
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 381
- 58
Hongereni kwa uchambuzi makini, Meena umenena ukweli. Pia kuna hili la kutoa habari kuhusu siku husika lakini picha zinazoambatana na habari yenyewe zinakuwa sio za siku ile. lengo ni kuonyesha kuwa kulikuwa na watu wengi kumbe haikuwa hivyo. Mfano siku moja TBC imeripoti habari picha ya watu inaonekana kuna vumbi wakati huo Arumeru mvua kubwa ilikuwa imenyesha. Tubadilike waandishi.