Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

Mzee wa Rula

Nani wa kuhurumia.Muda wa kazi wewe unakunywa viroba,baadae unalalamika CCM haijakuletea maendeleo.Hawa ndio mashaabiki wa UKAWA.Poleni UKAWA.

kwa mujibu wa akili zako, muda wa kazi ni kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Unacho sema ni ukweli mtupu, uzinduzi wa kampeni wa CCM jangwani Sasa ni kama Tangazo la biashara Startv na Tbc1.
 
Star tv ni kituo cha mashetani star tv sio kituo cha kukifutilia tuwaache watoto wa mashetani ndio wawe wanapotezea muda wakisubiri siku yao ya mwisho october 25
 
Wanachosahau ni kwamba hii ni biashara sasa tupo tuliokuwa tunataka kununua dekoda zenu kiukweli ni nzuri ila kwa itikadi hizi sorry mmenikosa jipangeni upya.
 
Wana JF.

Leo nikiwa kijiwe fulani napata zangu masanga kulikuwa na TV ambayo walikuwa wameweka station ya Star TV. Kwa takribani masaa kama matano niliyokaa hapo nimeona Star TV wamejitoa akili, yaani imekuwa zaidi ya TBC1. Ni full propaganda! Hii inaweza kuwa na madhara makubwa kwa upande wa biashara baada ya muda.

Nadhani ITV hata kama wanatuhumiwa kuwa ni chombo cha wapinzani lakini wako fair au wana balance. Lakini Star TV imekuwa kama CCM TV, hii ni mbaya TV fulani kueleweka moja kwa moja ni TV yenye mlengo fulani au inaegemea upande fulani.

Endapo uongozi wa Star TV hawatamshauri mmiliki wa Star TV ambaye ni kada wa CCM, athari zake ataziona mara baada ya uchaguzi kwisha. Prevention is better than cure.


Hiz nyingine ni terevisheni pori,tunayo terevisheni moja tu ndani ya Tanzania nayo ni ITV BASI hiyo ndio TV ya Taifa .
 
Back
Top Bottom