Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
100%;barikiwa
Nani wa kuhurumia.Muda wa kazi wewe unakunywa viroba,baadae unalalamika CCM haijakuletea maendeleo.Hawa ndio mashaabiki wa UKAWA.Poleni UKAWA.
Bila hata ya aibu mida ya kuwa kazini eti unapata masanga au ndiyo hizo posho
Ni kutokana na kuendekeza sera za kijinga na kutokuwa na mwelekeo.Kwa mara ya meisho kuangalia hiyo star tv ilikuwa mwaka 2013 february sijawahi hata kuangalia tena. Nilishangaa tu baadae watangazaji wake wengine wako azam
Hata kama wajifiche kidogo maana TV nyingi zina ushabiki wa vyama lakini si kama wao.Hao ni ccmTv
Tuseme wewe ndiyo mwenye huruma sana na biashara ya mwenziyo au ujumbe umekuchoma baada ya kutokuwa na mahaba nao
Hata me wananiboa sana hata taarifa zao siku hizi siziangalii kabisa
Bila hata ya aibu mida ya kuwa kazini eti unapata masanga au ndiyo hizo posho
Nimeona wa itv wapo azam vipi nao wanakimbia hotuba EL zisizo na mpangilio?Jiulize kwa nini watumishi wake wanakimbia??
Me pia nimejiajiri na sijawahi ajiriwa lkn kwa mtu anayeheshimu kazi yake hawezi kunywa viroba mida hii rabda kama ni kundi la wanaosubiri mabadiliko wakitegemea watakuwa wanapewa hela bureUnadhani kila mtu kaajiliwa,wengine wamejiajili ujue hivyo.
Jiulize kwa nini bado ni TV pendwa??Nimeona wa itv wapo azam vipi nao wanakimbia hotuba EL zisizo na mpangilio?
Kama ulivyoshikwaMajibu yako yanatokana na akili za kushikiwa.
Me pia nimejiajiri na sijawahi ajiriwa lkn kwa mtu anayeheshimu kazi yake hawezi kunywa viroba mida hii rabda kama ni kundi la wanaosubiri mabadiliko wakitegemea watakuwa wanapewa hela bure
Inapendwa na watu wa aina gani?Jiulize kwa nini bado ni TV pendwa??
Kama ulivyoshikwa
Hata za kwako zipo waziNimeelewa hisia zako.