Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

Kwa sababu nikikuuliza Lowassa kakufanya nini mpaka usimpende....huwezi nijibu..
Labda utanijibu haya...
Serikali ya Tanzania chini ya CCM imefanya nini ndani ya Tanzania in 50 years?
Je tunasonga mbele au tuna-SURVIVE tu?
Serikali inafanya mambo yale yale kwa style zile zile na ndio maana hata katika nyimbo zao wanasema" CCM ni ILE ILE"na serikali itakuwa na mambo YALE YALE.....
Mie sina haja ya ENTRUST matumaini yangu kwa mtu ambaye najua ni binadamu ambaye anaweza kuwa INFLUENCED na external forces aidha kiuchumi, kisiasa,kitamaduni na hata kimazingira...
Lowassa najua ana tuhuma nyingi sana za kweli na zisizo za kweli...
Sawa ana tuhuma...
So what?
Labda kama haujui ni kuwa Tanzania hata kama itaingia UKAWA maisha ya wananchi hayatakuwa bora OVERNIGHT na wala uchumi hautakuwa wa juu Promptly...
Haja ya MABADILIKO msingi wake ni mwanzo mpya, Fikra mpya...
Katika kupambanua , utekekezaji na usimamizi wa mambo mbalimbali kama miradi ya maendeleo..
Na tambua kuwa ninatambua kuwa hata UKAWA ikiingia madarakani watu wote hawatakuwa wasafi....
Mie kitu ninachotambua kama UKAWA ikiingia madarakani mambo tunayoyaona kwa akili ndogo tutayaona kwa AKILI NA MAONO MAKUBWA.....
Na hiyo Akili kubwa itakuwa aidha kutoka UKAWA kwenyewe au NJE ya UKAWA.....
Kwa sababu najua hata kama CCM itashindwa katika uchaguzi huu namba yao katika VYOMBO VYA MAAMUZI itakuwa kubwa kulinganisha na namba ya wapinzani kwa sasa walivyo katika uwiano wa vyombo nyeti....
Kwa hivyo CHECKS & BALANCE itakuwa ni ya hali ya juu kuliko ilivyo sasa ktk serikali ya CCM...
Mtu akizingua na yeye anazinguliwa pia.....bila kujali yuko upande gani

Ni hayo tu.
 
Mzee wa Rula

hao mafisadi waombe wakununulie ata baiskeli;

Ndo maana umepewa kuchagua ata mimi sinunui gazeti la Rai Na Mtanzania na T/DAIMA.

MAPAKA TAR 29 OCKTOBERA
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha kufurahisha, muhimu watu wajue si kila mtu anashabikia anachoamini yeye

Kushabikia ni tofauti na weledi, kama wewe ni UKAWA na mimi ni CCM, au wewe Yanga mimi Simba sioni ubaya. Ubaya unakuja unapofanya mambo ambayo yanaonyesha kabisa kuna kitu.
 
hao mafisadi waombe wakununulie ata baiskeli;

Ndo maana umepewa kuchagua ata mimi sinunui gazeti la Rai Na Mtanzania na T/DAIMA.

MAPAKA TAR 29 OCKTOBERA

Mwizi hufikiri kila mtu ni mwizi mwenzake! Ina maana huwezi kufanya kitu hadi uhongwe?? Huu ni umaskini wa mawazo.
 
Umemnukuu reginard mengi ; baada ya kuona kina kirefu cha magufuri


rudi ccm ; wewe ni kijana

wazee ukawa
 
Diallo alishaapa kwamba Lowassa hawezi kuwa Rais. Ni mahasimu sana
 
Kwa maono ya mahaba niue, mbele kwa mbele.
Hayo mahaba yenu msilazishe wengine, leo kulalamikia star tv kwa sababu wanarusha matangazo ya campain ya ccm haina mashiko maana wenye uelewa wao wanajua ni tv zipi utapata habari za ukawa na zipi utapata habari za ccm. Hata magazeti vilevile tena ajabu unakuta magazeti manne heading moja!!!
 
Walinichefua sana, wiki moja sasa imepita Hakika walikuwa poa sana. even b4 campaign.. Ni station niliyozoea kufungua kila siku saa kumi na mbili na nusu. Juzi niliamka vizur, nilikuwa na hungover za siku iliyopita, nikafungulia nikijua nitapa mixer ya stories uchaguz, uchumi, siasa, biashara nk.

Kama walivyotoa/alfajir tangazo lao siku kadhaa zilizopita...nanukuu si nukuu rasmi ..umakapo asubuhi amsha na akili yako, ili uwe mwenye kuchambua mambo katika maisha amka uate habari kupitia kipindi cha watanzania tuongee magazeti.." kwa kweli siwezi kuliigiza vema.....


sasa nimeamka nashangaa habari ni za uchaguzi zikigandamiza ukawa, na kuinua upande wa magufuli, nikaona kama vile hata magufuli mwenyewe angesikia angesema huu ni upuuzi, ni sifa za kijinga, magufuli angependa sifa za kweli za kazi.

Ukawa ilikandiwa sana, hata Tume ya uchaguzi kama itafwata maadili, STAR TV wangekuwa banned. Njoo vyama vingine, maskini vilitimbwa. Hawa waandishi wa Habari wanajidhalilisha.

Baada ya kuamka na kutoka kwangu, kituo cha kwanza magazetini. Nilichokikuta nikashangaa, STAR TV walichokifanya ni kupindisha, huu usomaji alikuwa mahiri kutimba na kusrew habari kuinegativate.

Niliwaonea huruma, kwasabab hayo sio maisha ni upuuzi
 
Hayo mahaba yenu msilazishe wengine, leo kulalamikia star tv kwa sababu wanarusha matangazo ya campain ya ccm haina mashiko maana wenye uelewa wao wanajua ni tv zipi utapata habari za ukawa na zipi utapata habari za ccm. Hata magazeti vilevile tena ajabu unakuta magazeti manne heading moja!!!

Tumia tu ID ya zamani.
 
Na hii kifeli basi itakuwa chali kabisa, kifo cha mende.
Unaumwa ugonjwa mbaya sana wa kutojitambua. Kama unataka TV iongelee mambo unayopenda anzisha ya chama chako na iongee unayopenda. Hapa tulia tuuu kama unaminywa jipu ili upone vizuri. Na baada ya tarehe 25/10/2015 dawa itakuwa imekuingia sawa sawa.
 
Unaumwa ugonjwa mbaya sana wa kutojitambua. Kama unataka TV iongelee mambo unayopenda anzisha ya chama chako na iongee unayopenda. Hapa tulia tuuu kama unaminywa jipu ili upone vizuri. Na baada ya tarehe 25/10/2015 dawa itakuwa imekuingia sawa sawa.

Naona Lumumba wenzangu hamtaki kukubali ukweli. Dialo anaweza kuwa anatuharibia zaidi ya kutusafishia njia. Magufuli ni jembe hakuna asiye jua lakini siyo kwa mbwembwe kiasi hicho?? Kampeni bado mbichi.
 
Back
Top Bottom