Star TV Arumeru Updates...

Status
Not open for further replies.
Tutakuletea matokeo na zoezi la UPIGAJI kura huko arumeru Mashariki na Kama uko arumeru tujulishe yanayotokea huko katika Maeneo tusipofika kwa faida ya watanzania nasi tutawafikishia kupitia luninga

Yahaya Mohamed wewe ni mwanaJF mwenzetu lakini tunashangazwa sana na baadhi ya Tv hasa ITV na STAR Tv mnaanza vizuri kutoa updates lakini mambo yanakuwa arijojo hasa upande wa CCM mnaacha kutoa updates hata kama mnaletewa hints za matukio ya huko.

Hili linatilisha mashaka kuwa mnafanya kazi kwa mashinikizo hasa pale mambo yanapokuwa hayaendi vizuri.
 
hasante Yahaya kwa utngazaji wako makini na maswali yenye tija kwa waandishi walioko Arumeru, endelea kutujuza kitakachojili huko Arumeru, Hii poll result inaweza ikawa kweli hapo Arumeru ukilinganisha na vuvugu la kampeign lililokuwepo.
Hasante Star TV, hasante Yahaya.
 
Yahya M, fikisha salaam kwa kijana mmoja gamba lililokuwa studio jana, mwambie aache unafiki. Akosoe uozo wa serikali kuliko kukosoa chadema. Yule aliyeongelea umri wa mbwa. Mpuuzi sana. Madini yanaibiwa ye anaongelea upuuzi wa daladala MWANZA
 
Yahya M, fikisha salaam kwa kijana mmoja gamba lililokuwa studio jana, mwambie aache unafiki. Akosoe uozo wa serikali kuliko kukosoa chadema. Yule aliyeongelea umri wa mbwa. Mpuuzi sana. Madini yanaibiwa ye anaongelea upuuzi wa daladala MWANZA

Majuha nchi bado yapo mengi. Ni kuachana nae tu.
 
UPDATES:

Zoezi la Upigaji kura linaendelea kama kawaida na hadahari kubwa imewekwa na wananchi ambao wanafuatilia mwenendo wa ubebaji au uhamishaji wa kifaa chochote kinachoweza kutumika kuhamisha kitu.

Kadhia ya asubuhi ya leo ilikuwa ni katika kituo kimojawapo kata ya Leganga ambapo vifuko vya sulphate na mifuko ya plastiki ya karatasi ya nylon maarufu kama mifuko ya Rambo ilikuwepo katika kituo cha kupiga kura na kuamsha hofu kuwa kwa nini imeletwa hapo.

Ukaguzi uliofanyika kati ya Polisi na mawakala wa vyama imebaini mifuko hiyo kuwa tupu na kuwa haikuwa na chochote ndani.

Tahadhari na umakini kwa wananchi wote ni wa hali ya juu kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na Haki.
 
huku kwenye kata ya sing`isi akina mama na wazee wengi wanaacha utamaduni wao wa kukipigia kura cha kimoja kila siku na wanafanya maamuzi ya tofauti na hali ni shwari kabisa
 
helcopta ya cdm imekuja kata ya mbuguni...ulinzi ndo umeanza
 
Wadau hii ilitakiwa kuanza siku nyingi, mimi nashangaa kwa nini wahusika wanaileta leo hapa..... Next time poll ifanyike kama wiki mbili kabla ili kutoa fursa kwa kila moja kipig KURA....
 
Ukikuta TBC hawahangaiki na mchakato wa uchaguzi ujue mambo si mazuri sana kwa CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom