rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Azam mimi wamenishinda kabisa. wanakata local channel zote isipo kuwa tbc tu.
Sasa nauliza hawa star times wana channel za michezo zinazoonesha mechi za ulaya na uingereza?
Na je hawa star times wana rusha live kama mechi inachezwa taifa?
Star times wana local channel kibao, vipi kwa hayo mengineyo? nishaurini nataka niachane na huu upuuzi wa azam kwa kweli.
Ombi. azamu fungueni uzi wenu humu mjibu hoja zetu.
Nawasilisha.