Star Times nao wameanza magumashi!

Haya frequency hizo hapo juu,ni soka kwa kwenda mbele ligi ya uingereza ni live bila chenga.
 
Mambo ya soko huria kaka kama huwezi kulipia hizo gharama si uache,msiwalaumu bure Star Times mbona Dstv wanabei za kufa mtu na hakuna anayewalaumu?kwanza StarTimes walitoa vipeperushi longtime kuwa kuanzia october 1 kutakuwa na kifurushi kingine kinachoitwa UHURU kitakuwa na channel zaidi ya 46 na kitalipiwa sh 18,000.pia mimi nawapongeza StarTimes wamewezesha wengi kuziona channels ambazo tulio mabonde kwinama tulikuwa hatuoni,sasa tunaona live bila chenga.Nimesoma malalamiko mengi kuwa ST king'amuzi chao hakionekani vizuri kwa mimi hilo nalipinga huenda watu wanakosei setting,inabidi uwe na antenna yenye booster na ambayo iko juu ya paa ikiwa juu kiasi,ukifanya hivyo utaona bila tatizo.kule kukwama kwama ni hali ya ambayo inatokea na inabidi ucheze na kurekebisha antenna,hata Dstv inakwama,penye ukweli tuseme ukweli ,wa TZ tunapenda sana kulalamika bila kufanya utafiti au kutafuta ufumbuzi
 
ikimita.... nimekusoma, ila mimi nina dish la futi 6, vp naweza kulitumia ilo kupata hzo channel za kiarabu, vp wanaonyesha ligi ya uingereza? tafadhali nibip nkupigie kwenye no 0718 808844 au 0782 808844
 
Ta Kamugisha fuata maelekezo ya mdau hapo juu aliyotoa, hizi channel unakamata kwa dish lolote maadam uwe na lnb ya ku na liangalie nyuzi alizotaja hapo
 
kwani mmelazimishwa kufunga hilo lidicoder la startimes? tupa mbali yanini kujitesa na nihela yako?

DSTV wanapakage tofautitofauti kulingana na mteja anachokitaka.
 
Wezi sana hawa,walikua na opportunity ya kukamata soko ila ulafi utawaponza....ngoja tuwajaribu ZUKU..
 
Kuna category ya uhuru,na mambo,sasa sijajua ni kwa bei gani?halafu mbona huduma zao bado sana?mbona karibu channel zote ni free to air kwenye dish za kawaida?ACHENI UWIZI MMEANZA UCHAKACHUAJI KAMA WACHINA WENGINE SIO?

mkuu bado unaangalia huo m decoder? Achana nao hao wezi tu! Channel almost zoote ni za bure wao wameng'ang'ania kutoza pesa achana nao! Kitu easy Tv!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom