Star-times na local channel

Star-times na local channel

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
584
Tuliambiwa kuanzia January mosi 2018 local channels zilizo kuwa zikitoswa malipo ya kabla zitakuwa free,chaajabu wembe ni uleule....malipo ya kwa local channels katika king'amuzi cha startimes yapo palepale.
Mwanza city source star times kisimbuzi card number 02025351106
[HASHTAG]#TRA[/HASHTAG].TZ
[HASHTAG]#STARTIMES[/HASHTAG].TZ.MWANZA
 
Ni kweli local channel hazioneshi, TCRA mpo wapi? Tusaidieni
 
ukweli ni kwamba hili la local channel TRA LINAELEKEA KUWA SHINDA
 
Hawa TCRA la local Channel lishawashinda maana si mara ya kwanza kutoa tamko la kutokuchajiwa hizo local Channel.

Hadi sasa tunaendelea kupigwa charge kwa hizo Channel za nyumbani.

Wako kuonea vyombo vya habari vile vinasimamia ukweli
 
Ni heri wasingetoa tamko bali wangeenda kuwashughulikia hao startimes directly. Hii nayo imeshakuwa kero.
 
Back
Top Bottom