Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,755
- 23,433
mbona kama anazalisha malighafi ya gesi....
U mean na ushuz au?
mbona kama anazalisha malighafi ya gesi....
U mean na ushuz au?
Shem , kwani vipi? Mi si naulizia usafiri jamani ! Nna kabinti kangu kule Mbeya kanasoma "Gere garls secondary school"
Hivi hapa mna diskasi makitu gani vile?
angekua mzuri asingemtenda
ndikuuu!!sijaona badoooo,kila kitu fake tu!!
umeonaee yaani ni fekeroo hadi macho, vipodozi vinamsitiri
Kapenda mkorogo, nywele za maiti na hizo nguo za msibani
ahaa miss chit chat naona umeamua kufunguka ukweli ata bila kupepesa macho. Taratibu jamani tumieni tafsida mtoa mada kamuona kibibi kampenda kumbe wenzake washageuza tambara au dekio lol ndo mana sitongozi mtaani kwetu.
​hahahaaaa!!utajiju shemejiiii!!Shem , kwani vipi? Mi si naulizia usafiri jamani ! Nna kabinti kangu kule Mbeya kanasoma "Gere garls secondary school"
umeonaee yaani ni fekeroo hadi macho, vipodozi vinamsitiri
hahahaa!!pacha umeona
nywele bandia,kope bandia,mapoda ya kufa mtu
rangi ya ngozi yake sina uhakika nayo!!kiiiruuuuu!!
U mean na ushuz au?
hahahaaa, bily kwani uongo? Bongo movie wengi ni mafekero hadi mabwana zao, umeona Ray alivyojifanya?
ndio miss hapo umenena Ray kaamua kumkufuru Mungu wake kwa kumuumba mwanaume anatamani angekuwa mdada, dah ila sijui reason behind ila nadhani ni ulimbukeni tu hamna kingine.
​haswaaaaaa!!yereuwiiiiiiiiii yaaani majanga majanga
Kumbe Shemeji umo! ?
Hujavuma tu !
Hata ushuzi unaujua!
Teh ! Teh ! Teh!