Star mzuri kuliko wote hapa Bongo huyu hapa?

Star mzuri kuliko wote hapa Bongo huyu hapa?

irene_uwoya.jpg
 
Kapenda mkorogo, nywele za maiti na hizo nguo za msibani

Tehe tehe tehe! Uzuri wa kuzaliwa au wa Angel faces na ma artificial kibao? Mwanamke mzuri mpeleke shamba akalime huku akiwa amevaa kaniki kwa miezi miwili hivi, anakata kuni na kuchota maji na wanawake wenzie wa kijijini, then mlete mjini akiwa bado anavutia huyo ndiyo mzuri. Lakini hawa wa make up na artificial skin hapana!
 
Hamna hapo suruali imeshuka tu kidogo atakuwa mwenyewe hakutambua ni bahati mbaya tu.

Mmh, makusudi kabisa, alijua ila kaacha makusudi kwa kuwa biashara ni matangazo
 
071.jpg

jamani huyu dada mzuri
 
Sijaona mzuri kuliko my wife mama chanja,hata nkiwa sina pesa anaweza kwenda dukani kukopa dagaa,
 
Anzeni upya kutaja, hakuna hata mmoja shida tupu hizo
 
Bado namzimikia tuuuuu. Angekuwa hana Mpenzi ningemtongoza.........

irene.JPG
 
Back
Top Bottom