Standing order kitu adimu na muhimu.

Standing order kitu adimu na muhimu.

Duh Mwalimu mbona unachemka hivyo? Standing order haihusu school issues hata siku moja na hakuna hata neno moja acha sentensi inayozumgumzia school issues. Ndio maana Mkuu wako anakunyanyasa....N PM email yako nikutumie bwana

Nashukuru aisee, maana huku nikigusa tu kitu, utasikia sauti ya mkuu, "mwalimu standing order inasema..........."
 
Siku zote jaribu kuelewa kabla ya kutoa majibu! the "Standing order" or "Government Standing Order" ni kitabu kinachotoa miongozo mbalimbali kwa watumishi wa umma: haki za msingi na maslahi yao kwa ujumla; wakati gani mtumishi anastahili kufanya nini na kwa namna gani.

Mara nyingi kila institution inakuwa na kopi ambayo ukaa kwa bosi. Mabosi wengi wanaogopa kuiweka wazi kuogopa misukosuko toka kwa watumishi koz mambo mengi yanaminywa.

Kitabu hiki kinapatikana kwenye maduka ya Serikali-mfano maeneo ya Posta kwa walioko Dsm. kitafute kama wewe ni mtumishi hili upate kujua haki zako na makosa ambayo pengine umekuwa ukiyatenda ukidhani ni haki yako.

Kwa mfano, nasikia standing order hairuhusu mtu yeyote yule kutumia peni nyekundu isipo kuwa RAISI na MWALIMU (wakati wa kusahisha tu)
 
Duh Mwalimu mbona unachemka hivyo? Standing order haihusu school issues hata siku moja na hakuna hata neno moja acha sentensi inayozumgumzia school issues. Ndio maana Mkuu wako anakunyanyasa....N PM email yako nikutumie bwana

mkuu nami naomba ntumie tafadhali...
vanmedy@gmail.com
 
Kwa mfano, nasikia standing order hairuhusu mtu yeyote yule kutumia peni nyekundu isipo kuwa RAISI na MWALIMU (wakati wa kusahisha tu)

Pia Mawaziri ndio wanaoruhusiwa kuandika kwa penseli. Kila kitu kipo wazi, kuanzia namna ya kuandika barua ...... Isome kwa kina, ielewe, na ikariri iwe kwako kama msaafu au Biblia.
 
Pia Mawaziri ndio wanaoruhusiwa kuandika kwa penseli. Kila kitu kipo wazi, kuanzia namna ya kuandika barua ...... Isome kwa kina, ielewe, na ikariri iwe kwako kama msaafu au Biblia.

Asante ndugu nmeipata nnaikomalia mwanzo mwisho yaani.
 
Ikiwa kama hujapata, tafuta kwa Google. Andika PUBLIC SERVICE STANDING ORDERS, 2009.
Usipofanikiwa, ni PM barua pepe yako, nikiutmie. Natumia simu, siwezi kuipandisha.
Public Service Standing Orders ni muhimu kwa mtumishi, kama vilivyo vitabu vitakatifu vya dini. Pia usisahau Code of Ethics and Conduct, Employment and Labour Act.

Ndugu,

Naomba nitumie kwa email theweeknd9911@gmail.com

Kama unazo zote itakuwa poa sana
 
Kama wengi mmeshatumiwa ikiwezekana mu-upload tu, kwa faida ya watumishi wa umma na wengine pia.
 
Kama wengi mmeshatumiwa ikiwezekana mu-upload tu, kwa faida ya watumishi wa umma na wengine pia.

Hii kitu ni moto aiseee, bosi akikusikia unayo anaweza akakuchukia/akakupenda kuliko maelezo.
 
Back
Top Bottom