Habari wana jukwaa la elim.
Hii document inayoitwa standing order, kama kuna mtu anayo naomba a upload hapa maana mkuu wa shule anasumbua kweli kweli.
Pliz msaada.
Wewe ni mwanafunzi wa sekondary?.kama wewe ni mwanafunzi wa sekondary fungua kitabu chako cha commerce kuna specimen ya kila document.au kitabu chochote library cha accounting(hasa vya majuu).
Mkuu bahati mbaya ipo kwny ipad,ninayo to-date.sasa kama hutaipata tukumbusha nii-upload hapa
Thank you for your concern, but the information is irrelevant.
Kama aliyokutumia Danp36 ni irrelevant basi maelezo yako hayajajitosheleza kuhusu aina ya hiyo standing order yako unayoihitaji.
Kwa ufupi standing order kadri nnavyofahamu mimi na inavyotumika ki benki, ni maelekezo ya kuiruhusu benki kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako kwenda kwenye akaunti nyingine iwe ndani au benki nyingine. Na hii hufanyika kama hamisho hilo linafanyika mara kwa mara na kiwango cha pesa ni kilekile.
Huenda nimeelewa tofauti, jaribu kulezea hiyo document yako ya standing order inahusiana na nini?

kama aliyokutumia danp36 ni irrelevant basi maelezo yako hayajajitosheleza kuhusu aina ya hiyo standing order yako unayoihitaji.
Kwa ufupi standing order kadri nnavyofahamu mimi na inavyotumika ki benki, ni maelekezo ya kuiruhusu benki kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako kwenda kwenye akaunti nyingine iwe ndani au benki nyingine. Na hii hufanyika kama hamisho hilo linafanyika mara kwa mara na kiwango cha pesa ni kilekile.
Huenda nimeelewa tofauti, jaribu kulezea hiyo document yako ya standing order inahusiana na nini?
Kama aliyokutumia Danp36 ni irrelevant basi maelezo yako hayajajitosheleza kuhusu aina ya hiyo standing order yako unayoihitaji.
Kwa ufupi standing order kadri nnavyofahamu mimi na inavyotumika ki benki, ni maelekezo ya kuiruhusu benki kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako kwenda kwenye akaunti nyingine iwe ndani au benki nyingine. Na hii hufanyika kama hamisho hilo linafanyika mara kwa mara na kiwango cha pesa ni kilekile.
Huenda nimeelewa tofauti, jaribu kulezea hiyo document yako ya standing order inahusiana na nini?
School issues.
Siku zote jaribu kuelewa kabla ya kutoa majibu! the "Standing order" or "Government Standing Order" ni kitabu kinachotoa miongozo mbalimbali kwa watumishi wa umma: haki za msingi na maslahi yao kwa ujumla; wakati gani mtumishi anastahili kufanya nini na kwa namna gani.
Mara nyingi kila institution inakuwa na kopi ambayo ukaa kwa bosi. Mabosi wengi wanaogopa kuiweka wazi kuogopa misukosuko toka kwa watumishi koz mambo mengi yanaminywa.
Kitabu hiki kinapatikana kwenye maduka ya Serikali-mfano maeneo ya Posta kwa walioko Dsm. kitafute kama wewe ni mtumishi hili upate kujua haki zako na makosa ambayo pengine umekuwa ukiyatenda ukidhani ni haki yako.

Ikiwa kama hujapata, tafuta kwa Google. Andika PUBLIC SERVICE STANDING ORDERS, 2009.
Usipofanikiwa, ni PM barua pepe yako, nikiutmie. Natumia simu, siwezi kuipandisha.
Public Service Standing Orders ni muhimu kwa mtumishi, kama vilivyo vitabu vitakatifu vya dini. Pia usisahau Code of Ethics and Conduct, Employment and Labour Act.
Duh Mwalimu mbona unachemka hivyo? Standing order haihusu school issues hata siku moja na hakuna hata neno moja acha sentensi inayozumgumzia school issues. Ndio maana Mkuu wako anakunyanyasa....N PM email yako nikutumie bwanaSchool issues.