PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
mkuu tanzania tunaserikali ya kushughulikia wapinzani tu si kulinda maslahi mapana ya umma.sema tu watanzania tunamoyo otherwise kingekuwa kishanuka
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Hivi bongo hatuna ma-IT experts wanaoweza ku-hark system ya stanbic kweli!!!!!?????
Na mimi nimefikiria hivyo hivyo. Au mfanyikazi mzalendo anayeweza kutuchomolea hiyo orodha na kuibandika hapa kinyemela.Hivi bongo hatuna ma-IT experts wanaoweza ku-hark system ya stanbic kweli!!!!!?????
Mbiwe ni waziri gani?Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Hakuna kitu kama hicho cha kukatalia list ya transaction ambazo zina mashaka. PCCB wana nguvu ya kisheria ya kupekuwa miamala yoyote.Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.
Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?
Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.
Ebu tuchangamshe akili hapa.
Hao jamaa wanafikiri kwa kutumia masaburi yaoKwa hiyo Mbowe ana mamlaka zaidi ya Kikwete? Kweli wapenda CCM mnaonyesha kufikiria kwenu kulivyo kidogo sana
Mie najiuliza hivi kumbe kama kuna vikundi vya kigaidi vinafadhiliwa fedha kuhujumu nchi yetu na fedha hizo zikapotia kwenye mabenki yetu kumbe serikali haina uwezo wa kuziamuru benki hizo kutoa taarifa ya nani kalipwa fedha hizo?
Kama sheria zetu haziwezi kupata taarifa hizo toka mabenki yetu basi tuko hatarini sana.
Heshima kwenu wanajamvi !Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.
Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?
Heshima kwenu wanajamvi !
Heri kwa sikuuu ya Xmas na Mwaka mpya 2015
Harbinder ameonesha ni namna gani alivyo mwananaume wa shoka,watu wenye dhamana wanaogopa kufanya maamuzi ya maana juu ya ESCROW kwa kwa kulinda maslahi ya Taifa, kisa ni huyu Singa na washarika walionufaika na Issue nzima ya IPTL/ESCROW.
Kwa namna ilivyo Harbinder Seith Singa ni mtu mwenye nguvu mpaka kiasi Dola inahofia,vyombo vyote ikiwepo Mahakama ,vimewekwa mfukoni na huyu mtu, watuhumiwa walio wengi wa hii Saga hii hawajaguswa.Kwa hoja hiyo huyu bwana anastahili kupokea pongezi,naam huyu ni mwanaume wa shoka,mpaka Serikali inamtetemeka ,na kuogopa hata kutekeleza maazimio ya Bunge!!!
Naam,Tanzania tu mambo haya yanawezekana,Ingekuwa China kwa issue kama hii tayari tungekuwa tunashuhudia misiba na maombolezo ya watu kunyongwa. Ila Tz kwa vile ipo kwenye AUTO PILOT mambo haya yanaonekana kama comedy ya akina JOTI na BAMBO.
Ningekuwa na muda wa kutosha ningetunga shairi la kumsifia Harbinder Seith Singa kwa namna anavyoichezea Serikali.
Congratulation Harbinder for keeping our government in your Pocket.But I wonder how great your pocket is? Enough to keep our government in your pocket ? Keep it up Harbinder.
Nawasilisha kwa kejeli moyoni naumia.
UKANA SHILUNGO,
Likizoni Masasi.
Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.
Ebu tuchangamshe akili hapa.
Kumbe ndicho kilicho mleta usiku usiku Zuma... Hiyo cctv wameichimbia 'Rokaby'?Nasikia tape ya CCTV inayoonesha wababaji wa viroba iko chini ya ulinzi mkali kwa Madiba.
Ila kwa ufupi, haya mambo ya baraka za mtu mmoja tu hapa Bongo...akiamua (jambo ambalo haliwezekani), kila kitu kinaisha ndani ya saa 24!
For real, ujio wa Zuma bila taarifa ni wa shaka kubwa.Kumbe ndicho kilicho mleta usiku usiku Zuma... Hiyo cctv wameichimbia 'Rokaby'?
Sasa mbona haitoki? Kwa taarifa ni kwamba wamegoma kuitoa-Tundu Lissu.Hakuna kitu kama hicho cha kukatalia list ya transaction ambazo zina mashaka. PCCB wana nguvu ya kisheria ya kupekuwa miamala yoyote.
Sasa bwana usalama si utuwekee list tummalize Mbowe?hata Mbowe yupo kwenye hiyo list ya stanbic