Wadau nani anajua salary scale za hawa jamaa, specifically Salary Scale SMC 5. ni kama shilingi ngapi? Natanguliza shukrani.
Mkuu, utakuwa umechelewa sana maana hii ni February.Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.
naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu natanguliza shukrani na namshukuru mungu sana kwani mungu ni mwema
Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

Hongera sana,ila tunakuomba ukawe muadilifu ndugu maana huko usipoangalia ndani ya miezi 3 ijayo utakuwa huwezi hata kufunga kamba za viatu kwa ajili ya rambaramba.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
bt this is feb,kumbe uliitwa zamani eeenh,bt umechelewa kuleta info
Natanguliza shukrani kwa ushauli
Ukiitwa kazini natumaini utaambiwa kila kitu. kuwa na subira GMK
sio lazima kuchangia kila uzi..
kama hujui si una kaa kimya tu!!
Haahahahahahahahhh....this country is too good indeed...
Karibu STAMICO Muungwana Excel tuchape kazi kwa maendeleo ya Taifa letu.