Habari wakuu.
Napenda kuwajulisha kuwa STAMICO wameanza kuita watu kazini, mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jumamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.
Naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu.
Natanguliza shukrani na namshukuru Mungu sana kwani Mungu ni mwema
Hongera, Nafasi gani?? Kuna jamaa yangu pia kaitwa hiyo tar 1 Feb 2014 nafasi ya Technician yeye kaambiwa kureport tar 04 Feb 2014, wewe nafasi gani