STAMICO wameanza kuita watu kazini

STAMICO wameanza kuita watu kazini

Asante Mapinduzi Daima.

Je, waweza kutumegea majina yao walio kwenye vetting kwa ajili ya faida ya wanajanvi naamii?

Muungwana...kufanya hivyo ni kwenda kinyume na kanuni na taratibu za vetting. Vuta subira, kufikia March mambo yote yatakuwa yamekamilika.
 
Back
Top Bottom