STAMICO wameanza kuita watu kazini

STAMICO wameanza kuita watu kazini

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
332
Habari wakuu.

Napenda kuwajulisha kuwa STAMICO wameanza kuita watu kazini, mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jumamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

Naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu.

Natanguliza shukrani na namshukuru Mungu sana kwani Mungu ni mwema
 
Wadau nani anajua salary scale za hawa jamaa, specifically Salary Scale SMC 5. ni kama shilingi ngapi? Natanguliza shukrani.

Ukiitwa kazini natumaini utaambiwa kila kitu. kuwa na subira GMK
 
Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu natanguliza shukrani na namshukuru mungu sana kwani mungu ni mwema
Mkuu, utakuwa umechelewa sana maana hii ni February.
By the way, hongera. Najua hiyo yote ni furaha.
 
Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu natanguliza shukrani na namshukuru mungu sana kwani mungu ni mwema

Hongera sana kwa kupata ajira. Angalizo, nenda ukawajibike kijana, litumikie taifa lako kwa uaminifu na uadilifu mkubwa. Taifa hili limegeuzwa shamba la mavuno kwa kujichotea fedha kiwiziwizi especially kupitia haya mashirika ya umma. Natuma hautokuwa mmoja wao hao wanaolihujumu taifa kwa kutanguliza tamaa za matumbo yao mbele. Mungu akutangulie na uwe mchapakazi wa kweli ili kupitia wewe wengine waige mfano mwema na kwa kufanya hivyo utakuwa umetimiza wajibu wako kwa taifa lako. Kila la kheri kijana.
 
Mkuu post gani uliomba?
 
Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu natanguliza shukrani na namshukuru mungu sana kwani mungu ni mwema

Hongera mwanangu.

Ndo za mameneja au Wakurugenzi au?
 
Habari wakuu ,napenda kuwajulisha kuwa stamico wameanza kuita watu kazini,mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jmamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.

naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu natanguliza shukrani na namshukuru mungu sana kwani mungu ni mwema

bt this is feb,kumbe uliitwa zamani eeenh,bt umechelewa kuleta info
 
Hongera sana,ila tunakuomba ukawe muadilifu ndugu maana huko usipoangalia ndani ya miezi 3 ijayo utakuwa huwezi hata kufunga kamba za viatu kwa ajili ya rambaramba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Waungwana....

Nami
naomba nitanabaishe wazi kuwa nami nimepata wito LEO tar 02/Feb/14 kwa njia ya email ikiwa na attachment ya kufaulu usaili na kujiunga na STAMICO kuanzia next week.

Tuwe pamoja waungwana katika kulitumikia taifa letu ktk Sekta hii nyeti katika uchumi wetu.

Mwenyezi Mungu azidi kutupa uzalendo ktk kuwatumikia wananchi wote....
 
Haahahahahahahahhh....this country is too good indeed...

Karibu STAMICO Muungwana Excel tuchape kazi kwa maendeleo ya Taifa letu.

ahsante mkuu.. mi bado niko chuo. for sure nikimaliza ntaaply huko kama kazi zikipatikana.

thanks for the welcome. kama kuna nafasi za field zinatolewa please inform me.
 
Back
Top Bottom