Staili ya upandaji miti

Staili ya upandaji miti

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Jamani staili hii ya kupanda miti ni balaa, nafikiri upandaji miti wa namna hii unapaswa kufanywa na jinsia moja tu maana wakiwepo wengine sina hakika kama kutakuwa na upandaji tena.

005.JPG
 
Sijaona pabovu!
Sijaona shida kwenye picha hiyo!
 
Weweeee!
Mbona poa tu, na hakuna anaye maindi!
Ila ningekuwepo-we acha tu!

005.JPG
 
Mtoa thready hii umeenda mbali sana kuhusiana na hiyo picha! mimi naona huyo mama anapanda miti vizuri tu bila wasiwasi wowote na anawajibika ipasavyo sio kama upandaji miti kwa staili hii:
jk+akipanda+miti.bmp
 
Huyo mama akitokea dungadunga hapo patamu ni balaaa ni kufika na kugusa hafu kitu na box
 
Nadhani mleta thread hii amekuwa na mashaka na style ya huyu dada aliyeinama naona mwenzetu ametafsiri mbele zaidi. labda mie ningeshauri apige magoti, kidogo ingekuwa nafuu zaidi.
 
Hako kanafunzi ndo kanapanda mti wengine ni wasanii.
 
Usibabaishwe na paja, paja ni sawa na sahani lililobeba msosi mzuri, ni vema ubabaishwe na msosi wenyewe
 
Back
Top Bottom