Aisee......
Maisha bora kwa kila mtanzania!
wE Mjamaa umejuaje aiseee unakaa kenya nini
ndio inakula mazima kwa Odinga rifu, uchakuachuzi wa wazi unawadia, bora angekubali yaisheNilishawahi kuishi huko mkuu kwa miaka miwili!!
(Don't take it seriously bro!!) Nasikia Vituo 22 vinarudiwa kuhesabiwa kura upya Odinga alivyosema Kenyatta kachakachua?
Mwanzo nilikuwa sijaelewa, kumbe 'kokap' zimedakwa tayari. Sura zao kama wakwe zangu wa Kilimanjaro