Hakuna kitu kizuri kama kiss lakini kuna watu wanafanya mambo ya ajabu mtu anakuja anakula hadi pua ! sasa unaanza kujihoji tutakiss vp au anatoa ulimi kama nyoka jamaniii!
Nlidhani wayajua kumbe mmmh. Hao wa kwanza ndo wenyewe. Hawajawahi kulambana tena hivyo kiila mmoja wao ana njaa na mwenzake. Hao wa pili, kila mmoja anamjua mwenzake hivyo hawana ham ni kushoo tuu.
Weyeeee ogopa njaa ya mapenzi. Ntu hashibi
Mkuu kosa la hao makungwi wao kutokana na elimu ndogo lakini baadaye wataona na kujirikebisha katika muve za kidungu maana ziko open hazina usiri hata kengeza hufurahia kam chezo haka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.