Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

Na wewe kapuku kama mimi unastahili nini?
Kapuku mimi ninastahili kuendelea kuiona hii AMANI ,UTULIVU na USALAMA uliopo kutokana na kazi kubwa ifanywayo na hao mawaziri wetu wakuu .....

Makapuku wa Kivu DRC na Sudan wana hali ngumu zaidi ....
 
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,

**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.

Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Kassim bado atakula MEMA ya nchi mpaka kifo
 
Back
Top Bottom