Stage compasation!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Baadhi ya wataalamu wa mapenzi wamethibisha kwamba hii kitu stage ni muhimu sana kwenye maisha ya mtu yeyote yule!!!


Namaanisha hivi,

Kuanzia unapozaliwa lazima uwe umejihusisha na michezo yooote ya utotoni kama vile kombolela, mdako, mchezo wa kufichana, kuruka kamba, kupika ugali wa mkojo nk


unapofikia hatua ya kubalehe pia ufanye mambo wanayofanya vijana wenzio kama vile kuwa katika mahusiano ya kirafiki na watu wa jinsia tofauti nk,


Hasahasa sababu ya kufanya hivyo ni kumaint tabia ya mtu kwamba iwe inabadilika kulingana na anavyozidi kukua


Hii imekuwa gumzo mitaani kutokana na baadhi ya wazee kushindania mapenzi na vijana wadogo, unakuta jibaba lina miaka 65 linafukuzia kabinti ka miaka 16 bila aibu, jimama miaka 70 linamtaka kavulana ka miaka 18.



kiutafiti inasemekana kwamba most of these guys didnt pass well accordingly with response to their stages, alivyokuwa mtoto alibaniwa na wazazi wake na hakupata nafasi ya kuchafuka kucheza kombolela nk, alipokuwa kijana alikuwa bize na shule etc



so Psychollogically wana compasate hata kama yeye mwenyewe hajitambui kuwa anafanya hivyo.



ADVICE:


Hakuna haja ya kujizuia sana kufanya baadhi ya vitu vilivyoko kwenye stage yako ili usije ukawa gumzo baadae i.e usije uka admire mambo ya wajukuu zako wakati ukiwa mm-babu au m-baba kisa hukuvifanya utotoni/ujanani.
 
Bro nawe ni wa Univasiti gani ? hii compasation vipi mkuu ni ile itokanayo na compensate ?(utani tu), pamoja na uliyoyasema ni mazuri kuna kitu kinaitwa 'midlife crisis' ambapo mtu mzima anataka kurudisha nyuma 'age clock' yake kwa kufanya mambo aliyofanya miaka 20-30 iliyopita.
 
Bro nawe ni wa Univasiti gani ? hii compasation vipi mkuu ni ile itokanayo na compensate ?(utani tu), pamoja na uliyoyasema ni mazuri kuna kitu kinaitwa 'midlife crisis' ambapo mtu mzima anataka kurudisha nyuma 'age clock' yake kwa kufanya mambo aliyofanya miaka 20-30 iliyopita.
hilo ni lingine, nafurahi kwani tutaelewa sasa sababu inayofanya wazee kuwa mafataki.
 
Back
Top Bottom