na wewe nawe ni wale wale............Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
Laiti kama ungenijua mimi ni nani wala usingethubutu kutoa maneno ya rejareja. Inaelekea wewe bado ni mtoto sana na hivi vitu vinakushangaza. Kama mtu mzima ninasema 'kua uyaone'. Haya ya wanaume kumi tena kwa uwazi huo ni kitu kidogo sana! By the time you are of age if at all you will ever be hutashangazwa na hili wala hutauliza maswali. Si lazima na wewe upitie wanawake kumi au wanaume kumi maana kwa jina lako haieleweki jinsia, utajua kwamba ni kitu kidogo. Kuwa kwake staa au celebrity kama wengine mnavyomchukulia haibadilishi dhana kuwa yeye ni binadamu. Tumeona ya firauni, hili la musa halinishangazi chochote kwa hiyo kijana shika adabu yako ukiongea na wakubwa.na wewe nawe ni wale wale............
Mh umedandia hapo ungesubiri kwanza lisimameNi sehemu ya mchezo! Hakuna cha ajabu, unless watu hawaelewi maana ya BBA.
mi mwenyewe nshakamua, makitu yake iko vizuri, sema ktandani gogo
global publisher?muigizaji wa filamu hapa bongo, jacqueline pentezel ‘jack wa chuzi' ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kuanika idadi ya wanaume aliowahi kula nao urojo tangu awe supastaa.msanii huyo alifikia hatua hiyo alipokuwa katika mahojiano maalum na mwandishi wa global publisher na kutakiwa kutoa ufafanuzi wa juu ya taarifa zilizozaga kuwa, kuna mwanaume kajitokeza anataka kumchukua jumla jumla.katika kutoa ufafanuzi wake, jack alikiri kuwepo kwa mpango wa kutaka kuingia katika maisha ya ndoa na mwanaume aliyemtaja kwa jina moja la jojoz na kuweka wazi kuwa,huyo ni mwanaume wake wa
kumi katika maisha yake ya kimapenzi.
>BiMkubwa mie mwenzio bado katoto kadogooo hata mschana mmoja cjawah toka nae na hayo mambo hata cyajui nayasikiaga tu.Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
Inawezekana kweli ni wanaume 10 lakini kalala nao 7 x 70 ambayo ni sawa na mara 4900. Kama ni gari basi milage yake itakuwa imeenda kishenzi nadhani oil zinavuja kila penye nafasi, na kama ni chewing gum utamu wote umeisha yaliyobaki utajijuhakuna cha ukweli hapo....10 times 3= ? jibu hili ndio kidogo litaendana na ukweli..mwanamke au mwanaume yeyote anaetamka kwa mdomo wake idadi ya wapenzi aliowahi kutembea nao, unatakiwa uzidishe mara 3 then utapata figure inayoleta picha kamili, anaebisha na aendelee kubisha ila hiyo ndio reality.
Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?
Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
Inawezekana kweli ni wanaume 10 lakini kalala nao 7 x 70 ambayo ni sawa na mara 4900. Kama ni gari basi milage yake itakuwa imeenda kishenzi nadhani oil zinavuja kila penye nafasi, na kama ni chewing gum utamu wote umeisha yaliyobaki utajiju