The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,509
- 3,363
Mdwe
Mdwebedo huo upo kwa private tu ambao mtihan ni mmoja lakini ukienda serikali huko vijijin ni masifuri na four😂Elimu ya siku hizi imekuwa mdebwedo sana! Ukitaka kujua hili waulize walimu wa vyuo na waajiri. Binafsi sio Mara moja nimewafanyia interview vijana kwenye mambo ya kazi na naishia kusikitika jinsi uelewa wao ulivyo wa mashaka.