St. Augustine university of Tanzania

St. Augustine university of Tanzania

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,075
Reaction score
14,718
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

Watoto wangu kama nataka wawe wacheza sinema za Ngono nitawapeleka St. Augustine ila kama nataka wawe wasomi nitawapeleka Vyuo vingine.
 
Hawa wat huwa wanasoma mpaka koz 14 kwa semista na karib wte wanakuwa na A kibao,A zao zinaanzia 80,C 50 !maajab kweli!
 
chuo wanaandikiwa notes kama sekondari unategemea nini? kuna makampuni matatu niko karibu nayo. recruitment policy zao ziko wazi, hawachukui graduates wa baadhi ya vyuo ; mojawapo ni saut, teku, sekuco, jordan, muslim univ, kiu, na vingine kadhaa.
 
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

Watoto wangu kama nataka wawe wacheza sinema za Ngono nitawapeleka St. Augustine ila kama nataka wawe wasomi nitawapeleka Vyuo vingine.

Huna Jipya Wewe AKILI Yako Ndogo Hiyo Ipeleke Chuo Cha Ubungo au Cha Ohio Street au Cha Hapo Nyuma Ya DIT Ndiyo Kuna POPOMA Wenzio.
 
Mada ina ukweli kabisa. Na kozi nyingi zilizozuiliwa kudahili wanafunzi 2017/2018 zinatoka kwenye vyuo hivyo vya kikuda. Hawana wahadhiri wenye sifa. Ni kama sekondari.
 
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

Watoto wangu kama nataka wawe wacheza sinema za Ngono nitawapeleka St. Augustine ila kama nataka wawe wasomi nitawapeleka Vyuo vingine.
Dah! Kiukweli mtoa mada umegedhehesha watu wengi, sijui hii chuki umeitoa wapi? Binafsi nimesoma SAUT Degree ya kwanza, nikafanya CPA nakufaulu vizuri, nikasoma Masters UDSM, na nikapata matokeo mazuri, rakini msingi mkubwa ni foundation kutoka SAUT, kwanini unatoa maneno machafu kihasi hiki dhidi ya Taasisi? Anyway sina uhakika kama hii story nikweli but jifunze kuwa mkweli.
Watanzania tusipende kujificha nyuma ya simu na kompyuta kusema uongo, na nikusaidie siyo kila ukiona watu wanakusikiliza kwenye discussion basi wote wajinga, fatilia matokeo huenda hao watu wakakuzidi kila somo. Be humble to everyone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni Mimi ndo nilitoa Hizi Shit?

Wale Jamaa bado hawajapata CPA real Slow Learners!
 
Pumba tyu chuo napo unataka ushike moja nenda lumumba

Don't mind me
 
Back
Top Bottom