St. Augustine university of Tanzania

St. Augustine university of Tanzania

Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

Watoto wangu kama nataka wawe wacheza sinema za Ngono nitawapeleka St. Augustine ila kama nataka wawe wasomi nitawapeleka Vyuo vingine.
Kuna watu ambao wako upande fulani (private/government division) na kwenye mitandao hupenda sana kuponda upande mwingine. Hivi kule SAUT wako kuchukua ada tu. After all ada yao haipitani sana na inayolipwa vyuo vya serikali kama UDSM na hawapati ruzuku yeyote from government. Hivyo lazima wachukue fees zinazotosha kuendesha chuo. Kuna supplementary exams kama kama vyuo vingine.

Maneno mengi lakini sijaona evidence yoyote. Kama kweli nia ni kuwatahadharisha wengine inabidi uweke data ya kueleweka-otherwise unachanganya watu bila kuwasaidia. Kwa mfano ukiweka failure rates zao kwenye hiyo CPA ingesaidia. Blanket statements ni vitu vya kuepuka. Hapo kwenye nyekundu haionyeshi mtu anae toa tahadhari bali mtu anae taka kudhalilisha wengine.
Nitashukuru kupata evidence kwamba kule ukifeli unarudia bila kuwa na termination, na unarudiaje.
 
Those who know do not speak. Those who speak do not know 😎
 
Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

SAUT Regulations
12.9 Repeating theYear
No candidate shall be allowed to repeat any one-year of study more than once.

12.10 Carry over courses
Carry over of a failed course into a subsequent year shall imply repeating the failed course in the subsequent year by fulfilling all the requirements of the course. Carry over of elective courses will be allowed only in exceptional circumstances, normally only when those units are needed to comply with regulations. All carried over courses shall be cleared within the allowable maximum period of registrations; otherwise the student is discontinued from studies. The maximum period of registration is five years for a programme that normally takes three years.
 
Daaah wanadekezwa 5years!
 
Daaah wanadekezwa 5years!
Mkuu tuarifu vyuo vingine inakuaje? Najua SUA ni +2 hivyo kwa mfano BVM una miaka 7 baada ya hapo registration yako inafutwa, na course zile za miaka 3 mwisho ni five years-je utasema nao wanadekezwa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mzee Wa AZAM mwenyewe anawasikiliza Tu cheti chake cha elimu ya juu kasomea Amazon utalii na kwenye mijadala ya vikundi alikuwaga anasinzia Tu. SAA hizi ametangaza kazi za mameneja Wa uuzaji mikate ya bofulo. Sifa uwe na GPA ya 3.4 nakuendelea ya udsm na uwe na CPA. Mshahara mnono.Hapa huenda mtoa mada ukalamba ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm binafsi nimesoma SAUT ila kuna jamaa yangu certificate amesoma C.A saut, degree amesoma BAEC, amesoma short course ya data management muhimbili, amesoma CPA UD kafauru vzr tu. Sasa hao vilaza wenzio waulize vzr wamesoma SAUT au walikuwa wanaishi karibu na chuo cha SAUT????

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa Fr Kitima hatujawahi kuwa vilaza.
 
Mm binafsi nimesoma SAUT ila kuna jamaa yangu certificate amesoma C.A saut, degree amesoma BAEC, amesoma short course ya data management muhimbili, amesoma CPA UD kafauru vzr tu. Sasa hao vilaza wenzio waulize vzr wamesoma SAUT au walikuwa wanaishi karibu na chuo cha SAUT????

Sent using Jamii Forums mobile app
UD......CPA!!!
 
Nenda Tia uone mziki wake habebwi mtu. Wanakaza mitihani kufa mtu. Unaweza bebwa cw lakini final ikakuumbua ukasup.
Kwa ubora wa elimu kuhusu masuala ya account Tia na Ifm ndiyo suluhisho kwingine mbwembwe tu.
Elimu udsm, sheria mzumbe, account tia na ifm. Kila chuo kina specialize zake.
Sasa saut na account wapi na wapi, ukimkuta mzuri aliyepo saut ujue foundation kaanzia ifm or tia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa elimu udsm nakataa
 
waulize hao watakua hawajawahi kufundishwa na mchawi mmoja wa accounting anaitwa mzee mnyang'iri ana bighorn ya burgundy.. na ujiandae kabisa ukifanya interview na mwanafunzi wa huyu mzee ujue kabisa atakulambisha mchanga asubuh tuu
 
Back
Top Bottom