Hizo ni ndoto mkuuMtoto wa kiume hautakiwi kuogopa mapenzi. Hayo yakuogopa mapenzi waachie wanawake ila kwa mtoto wa kiume haifai. Ukitaka kuishi kwa raha, mapenzi yaweke kwenye akili maana utafurahia sana. Kama simu ya mpenzi wako unaogopa kushika, ukikuta mke wako anagongwa si utajiua kabisa. Wanawake wapo wengi sana wala haina haja ya kuwaza wanawake. Kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana ila kugongwa nje siyo jambo la kawaida. Nyie ndiyo huwa mnalea watoto wa wanaume wenzako kisa hautaki kujua yaliyonyuma ya mke wako.
Haioni kamweVipi mzee, kuificha mtumiaji wa simu asione ama inajificha automatically!?
Mkuu naheshimu mawazo yako, nawe heshimu ya kwangu, wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe..Muache tu mkuu
Nahakika unchokitafuta utakipata
Je unaubavu wa kuhimili?
Hakuna malaika just live with it
Swadakta tuko pamoja chief, nishamdukua na kuanza kuona rangi yake halisi.Huo ndiyo uanaume. Naona wengi wanaogopa mapenzi sana. Kuwa na msimamo sababu mapenzi ni sehemu ya maisha na ukiruhusu mapenzi yakupelekeshe utaishia kulia kila siku. Humu watu wanasema usimdukue lakini wengi wanachepuka sana ndiyo maana hawataki kusikia hii kitu spy app sababu wanajua penzi lao litaota miiba. Mimi siwezi kuwa na mwanamke halafu anagongwa nje napiga chini siku hiyo hiyo kwasababu huyo siyo mke bali unafuga jini.
Haionekani mkuuUnawez akuificha ndani ya app nyingine ama kuificha kwa kwneda katika seting
Shida kila mtu anataka tuishi sawa kumbe tofauti..Mtu anaeogopa kumfuatilia mpenzi wake ni Dhaifu. Period.
Vipi mkuu anachepuka au yuko safi..?Mkuu naheshimu mawazo yako, nawe heshimu ya kwangu, wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe..
Ubavu wa kuhimili ninao, hakuna malaika sikatai, but sio sababu ya kufanya uchafu, nini maana ya ndoa, nini maana ya kufunga pingu za maisha, yaani nikae na jini ndani linaninyonua damu niache kufanya maamuzi sahihi kwangu, jombaa mie kwenye mapenzi kufanyana punguwani sipendi aheri nikae hivi hivi huru natomba nimtakaye natomba ninavyojisikia, sio mie najituliza ndani ya ndoa halafu mtu analeta mambo ya kiduwanzi, katika ndoa napinga saana kuchepuka!
Mimi ni muislam najua uzito wa zinaa ndani ya ndoa na zinaa kwa asiye ndani ya ndoa, hata rafk zangu waliooa bado wanafanya upuuzi huwa wanakutana na makali yangu!! Kwanini uchepuke, dini inaruhusu oa wa pili, huwezi huyo miyeyusho acha oa anaestahiki..
App nimifanikiwa kuihifadhi hapa naenjoy, naona makucha yake halisi kama ni plastic, udongo, sufi,mfupa ama ni chuma..
Ahsante kwa ushauri chief
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Vipi mkuu anachepuka au yuko safi..?
Nakuja inbox unielekeze namna ya kuingiza app
mkuu najaribu kukupm but pm inagoma mkuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sijui niseme anachepuka, sijui niseme yuko safi ni vitimbi tu humo ndani we acha tuu!! Hapa nipo nae hospital kapatwa na presha baada ya kumueleza tuachane una moja mbili 3, naombea tu asinifie mkononi, nimemkimbiza hospital..
Kama una moyo mwepesi kama baadhi ya watu wengine walivyoniambia nisiweke basi usije pm, ila kama una moyo mzito kama mimi basi we njoo pm, wanawake hawa we acha tu unaweza mdundika mtu bisu la roho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sijui niseme anachepuka, sijui niseme yuko safi ni vitimbi tu humo ndani we acha tuu!! Hapa nipo nae hospital kapatwa na presha baada ya kumueleza tuachane una moja mbili 3, naombea tu asinifie mkononi, nimemkimbiza hospital..
Kama una moyo mwepesi kama baadhi ya watu wengine walivyoniambia nisiweke basi usije pm, ila kama una moyo mzito kama mimi basi we njoo pm, wanawake hawa we acha tu unaweza mdundika mtu bisu la roho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umefanya la maana sana. Siku zote ukitaka kuishi salama mjue mwenzako tabia yake na ukishajua, mchane live na Kama unataka kuendelea naye. Mwambie mawasiliano yako yote ninayo na kila kitu ukifanyacho najua kwahiyo ukichepuka tu mimi na wewe mapenzi ndiyo mwisho. Hapo atajilinda sana na hataacha kuchepuka na akifikiria mtaachana anakuwa mpole.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sijui niseme anachepuka, sijui niseme yuko safi ni vitimbi tu humo ndani we acha tuu!! Hapa nipo nae hospital kapatwa na presha baada ya kumueleza tuachane una moja mbili 3, naombea tu asinifie mkononi, nimemkimbiza hospital..
Kama una moyo mwepesi kama baadhi ya watu wengine walivyoniambia nisiweke basi usije pm, ila kama una moyo mzito kama mimi basi we njoo pm, wanawake hawa we acha tu unaweza mdundika mtu bisu la roho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini mkuu!!mkuu najaribu kukupm but pm inagoma mkuu!
Nimekujibu mkuu!! Pilika pilka za hospitali tena mkuu, nikitulia nitakupa a to zMkuu mbna PM yako kimyaa?
Kuumbwa mwanaume maanake ni kukabiliana na magumu. Sasa mtoto wa kiume unashindwa kushika simu ya mkeo au kujua mke wako yuko vipi unaogopa si utakuwa shoger. Kama umeshindwa kushika simu ya mkeo sasa ukikuta anagongwa live si utajiua? Wanaofatilia wake zao ni wanaume rijali wenyewe moyo wa kiume ila kama umeshindwa ujue wewe una moyo wa kike. Mkeo akitoroshwa si utakufa kabisa. Nyie ndiyo mnaelewa watoto wa wanaume wenzenu kwa kuogopa kujua yaliyoko nyuma ya mkeo.Hizo ni ndoto mkuu
Kama una hakika wewe binafsi unaweza bila ku cheat basi wapo wanaoweza
Ila kama huwezi basi ujue hawezi pia
Kugongewa utagongewa tu hata ufanye nini
Ukiona anazingua mteme na sio kumfuatilia sana sana utakua mtumwa wa mapenzi
Kikubwa huwa ni heshima
Hahaa.. mkuu ngoja nimalize pilika pilika za hospitali then nitakuandikia kwa kirefu.Hapo umefanya la maana sana. Siku zote ukitaka kuishi salama mjue mwenzako tabia yake na ukishajua, mchane live na Kama unataka kuendelea naye. Mwambie mawasiliano yako yote ninayo na kila kitu ukifanyacho najua kwahiyo ukichepuka tu mimi na wewe mapenzi ndiyo mwisho. Hapo atajilinda sana na hataacha kuchepuka na akifikiria mtaachana anakuwa mpole.
Wanawake wa sasa. Ndoa wanataka na kuchepuka wanataka halafu wanapenda sana kuonewa huruma.
mkuu ikiwezekana ukimaliza mbishe zako, mwaga mrejesha hapo wadau tujifunze kituSijui kwanini mkuu!!
Haina noma chief!!mkuu ikiwezekana ukimaliza mbishe zako, mwaga mrejesha hapo wadau tujifunze kitu