Spy App

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,120
80,983
Wazee wenzangu, nahitaji application nzuri ya kumchunguza mtu, nisome meseji zake, WhatsApp na simu zake zinazoingia na kutoka..

Lengo la kutaka hii app:
Nina shemeji yenu tumekuwa kwenye mahusiank kwa takribani miezi 8, sasa anaitaka ndoa kwa hali na mali, mie nimekuwa nina"dribble" 50/50, sikuwa serious kivile japo toka nimekuwa nae nimeacha mipango mingine lakin haikuwa kihivyo, miezi km kadhaa hivi tumekuwa tukiishi pamoja kabisa, kimtizamo kwa juu juu katika maisha yetu naona kama kapoa, hana mambo mengi, ila siri ya mtu kichaka, kwakuwa mie nilikuwa sio real kivile nataka nizame kwanza nijue hasa ya ndani nikiona yuko OK nichukue jiko, kupenda kwangu si kazi kama nikiona mtu yuko safi.

Msaada wenu wazee wenzangu.

MREJESHO

Wazee wenzangu, najua mnahamu na mrejesho kutingwa tu hapa na pale, nitajitahidi kuandika kiufupi kadri niwezavyo

1. Kitu cha kwanza, ambacho kama ingetokea nafasi nadhani kila mtu angeuliza hili suala..
KWANINI NAMDUKUA!?
Nimeamua kumdukua mwenzangu kwa sababu nyingi ila kuu kabisa ni kutaka kujua rangi yake halisi, ni mwanamke wa aina gani, mie nataka kuoa kabisa sasa huyu ninaenda kumuoa ni mwanamke wa aina gani je anafaa, na hili ndio lilikuwa jaribio pekee la 100% kumpata vizuri, kumjua vyema na hiki ndio kitu pekee cha kunifanya niwe na uhakika na mwanamke ninaenda kuishi nae, mara nyingi mie sianzi kwa kupenda sijui wanaume wenzangu, mie huwa naanza kwa kutamani zaidi, mapenzi huja kutokana na mwenzangu anavyoact kwangu akiwa miyeyusho basi nami namfanya wa kuyeyushia nikiona kuna chembe za mahaba basi mahaba yanaongezeka kwa upande wangu. Niko hivyo hata kwa marafiki zangu, mie sikuumbwa mapenzi yaje kuniendesha, niliumbwa kuja kuenjoy mapenzi, so sikuona sababu ya kuogopa kumdukua.

2. Tulivyokutana.
Mie na bibie tumekutana mazingira ya hovyo, kifupi alikuwa ni cheche tu, mie na yeye tulikuwa tukifahamiana udogoni, alikuwa akija kwa bibi yake likizo, tukasoma madrasa 1 kipindi cha likizo yake, alipomaliza masomo akaja kwa bibi yake kuishi, kipindi chote hicho mie nilikuwa na 50 zangu, nadhani mambi ya shule, kuna kipindi nilikuwa naruka swahiba wake, kifupi wao walikuwa ni after money.. ikawa naruka mwenzie sijui kama ni rafiki yake(dada yake wa hiyari) mambo ya wanawake tena tukimaliza kuruka yeye anaenda kumsimulia mwenzie kuna mtu hiv na hivi!! Wakati yeye bibie alikuwa ananichukulia mie poa poa tu!! Kifupi kazi za kininja itakuwa siziwezi.. baada ya kukutana ndio alinieleza haya kuwa mie alikuwa ananizimikia toka kitambo, hata mwenzie alivyokuwa anamsimulia ilikuwa ikimuuma..

Mimi na huyu bibie tulianza mahusiano mwishoni mwa mwaka jana, japo tulianza kuwasiliana kabla ya hapo kwenye mitandao ya kijamii, na hata kukutana kwetu nilijua ni kuburudisha miili yetu, moaka pale bibie alipokiri kuwa ananizimikia, sikuona tabu sababu neno nakupenda toka kwa mwanamke huwa ni nadra saana!! So nikamuelewa ila nikmwambia nafahamu vyema wewe upo kipesa zaidi, nadhani hata dada yako d atakuwa kakufahamisha, mie nilikuwa si mlipaji saaana!! Nilikuwa nikimpa mara moja nikimmisi mimi akinimisi yeye mara chache saana kumlipa hiyo mosi, pili mimi ujana nimefanya saana starehe sasa nahitaji kutulia na tulizo pekee la nafsi ni ndoa, mimi uhuni wangu woote starehe yangu kubwa ni ngono na hiki ndio pekee kinanifanya nisifanye saana ibada!! Sababu nafsi inakuwa inanisuta natoka kumtafuna mtu then naingia msikitini, naingia kusali hali ya kuwa najua baadae nakutana na fulani kusuguana vikojoleo vyetu!
Mie ni mtoto wa kiislaamu najua uzito wa umauti, kila nikifikiria kesho yangu nafsi inaniuma, maisha ya kaburini ni mazito, na ni marefu mnoo, nikampa mfano babu wa babu yangu tufanye aliishi miaka 100 duniani toka kufa kwake mpaka leo yaweza ikawa ishapitiliza miaka 200 hiv na bado yupo kaburi ikafika hata miaka 1000, so maisha ya hapa duniani ni mafupi na ya mpito tuu, so mie nahitaji mwanamke halisi iwe tulizo la nafsi, siwezi kukunyima ww nafasi sababu mimi sio mjuzi zaidi ya mungu, sawa wewe ni sungura but kwakuwa unataka mie sikukatalii ila haya ndio maisha yangu halisi, unanipenda ujiandae kuishi bila ya kwenda club, bar, sijui kunywa pombe na vitu vingine vya mfano km huo, tukitoka basi ujue tumeenda beach, tumeenda kula ice cream na vitu vya mfano wa hivyo.
I don't care umefanya nini, sikuhukumu sababu hata mimi nahitaji kuhukumiwa ni Allah pekee mjuaji, we ni malaya ila yawezekana mie nikawa malaya zaidi ila uanaume wangu ndio unanilinda naonekana mgoni tu, mie nimefanya uchafu mwingi saana, so sijali ulifanya mangapi au ulifanya nini, kinachomata ni sasa ukiwa na mimi unafanya nini hili ndio jambo la msingi.
Kama ni ndoa ili mradi ndoa angenikuta nishafunga ndoa, maana wapo watu wanataka ndoa kwa hali na mali ila imeshindikana sababu hawawez kufanya nitakacho, mmoja yeye ni mkristu anataka ndoa ya bomani kitu ambacho kwa imani yangu napinga, najua hakuna ndoa zaidi ya kuhalalisha uzinifu. So akakubali.

3. What happened nilipomdukua..

Katika kumdukua nimekuta mawasiliano mawili yenye kutia shaka ama yasiopendeza..
i)nimekuta anawasiliana na mtu inaonekana huwa anamlia pesa jamaa halafu hataki kumpa papuchi nimemkuta jamaa analalamika, kuwa bibie ndivyo alivyo, na akafanya muamala kumtumia pesa bibie, bibie nae hakwenda siku hiyo.

ii)nimekuta amewasiliana na jamaa yake wazamani ambae kwenye simu inaonekana amemblock! Maana baada ya bibie kuacha mambo yote yale kuna watu walikuwa wanamsumbua bado akawa kawablock, sasa amewasiliana nae.

Katika utetezi wake mtu wa kwanza anasema huyo ni msumbufu aishamwambia kuwa yeye ana mtu na mtu mwenyewe ni mimi ambae jamaa ananifahamu, so akaamua kumlia pesa..

Utetezi wa pili anasema alimtafuta jamaa sababu dada yake alikuwa na shida na usafiri wa mawe, so ndio kilichofanya amtafute wapate msaada huo, sababu hata maongezi yanasikika hivyo.

Mimi kama mimi hakuna utetezi nilioupokea, sababu bado ana makosa, hapa kuna jamaa yangu anapiga kazi kampuni ya simu nimomba anifanyie mpango wa mawasiliano yake ili nichukue uamuzi kamili, japo naona na jamaa nae anaruka ruka hatoi ushirikiano wa kutosha(muoga wa kufanya hivyo)
 
Mkuu tumia *mobile tracker free* download google au click hapa .. https://mobile-tracker-free.com/login/?app=11 Baada ya kudownload install application hiyo kwa simu ya mhusika unayetaka upate sms zake za whatssap,sms,location ,calls ,n.k ni chaguo lako , hakikisha unainstall kwa simu ya mhusika unayetaka kufuatilia mawasiliano yake .

2. Nenda kwenye playstore kwa upande wa juu kushoto bonyeza hapo utaona email aliyosajilia basi ichukue na kuiweka pembeni,
Ukimaliza ifungue (mobile tracker free) tumia email hiyo na weka password ujuayo na jisajili .
Ukimaliza mpe simu yake ww tumia website ya mobile tracker kuingia na login kutumia email yake ..
 
Anakuheshimu ?, anakupenda??? Anapenda ndugu zako?, kama jibu ndio oa hizo story za kudukuana ni mambo ya hovyohovyo
Kuheshimu sio mwisho wa matatizo, vipu kama ananiheshimu anafanya kwa siri..

Unajua kama kupenda ni neno Tu, linathibitishwa mwa vitendo, acha niliprove kwanza ili nifanye uamuzi sahihi kwa maisha yangu, ndoa sio kombolela mwendo wa kubutua tu!! Isije mtu ukafanya maamuzi yakakuumiza baadae.
 
Mkuu tumia *mobile tracker free* download google au click hapa .. https://mobile-tracker-free.com/login/?app=11 Baada ya kudownload install application hiyo kwa simu ya mhusika unayetaka upate sms zake za whatssap,sms,location ,calls ,n.k ni chaguo lako , hakikisha unainstall kwa simu ya mhusika unayetaka kufuatilia mawasiliano yake .

2. Nenda kwenye playstore kwa upande wa juu kushoto bonyeza hapo utaona email aliyosajilia basi ichukue na kuiweka pembeni,
Ukimaliza ifungue (mobile tracker free) tumia email hiyo na weka password ujuayo na jisajili .
Ukimaliza mpe simu yake ww tumia website ya mobile tracker kuingia na login kutumia email yake ..
Shukrani za dhati kwako mkuu, mrejesho utakuja mjomba.
 
Kama unataka kumuacha, sepa tu kwa amani kuliko kutafutia mtu tatizo
Mkuu hapa sio mwendo wa ana ana dooh!!

Naweza nikasema nimuache ikawa nimeacha mwanamke wa maana, naweza nikasema nifumbe macho nikakumbatia jini.
Nilivyoishi nae najua mie, kwa haraka haraka amebadilika, kipindi tunaanza alikuwa mtu wa tungi na nyinginezo, halafu kwangu nilikuwa kapa napita tu, ye akafanya kituo kidogo sada naona anataka kufanya kituo kikubwa, hilo si tatizo kwangu, lazima niwe na uhakika wa hii treni inayotaka kuweka kituo kwangu.

Si nina kika sababu ya kufanya hichi ninachofanya kabla ya kuchukua maamuzi, ndoa sio jambo la mchezo.
 
Kila la kheri mkuu, ila ukimchunguza saba bata....
 
Kila la kheri mkuu, ila ukimchunguza saba bata....
Mkuu ukimchunguza saana bata mawili aidha usimle ama ukamla kwa uhakika na kujinafasi zaidi..

Usiogooe kuchunguza, sio mke wangu, ndio maana nimeanza kabisa angekuwa mke hapo sawa, tunataka kuingia huko ndio maama, kama ana mambo ya kiduwanzi nipige chini kabisa, kama safi na iwe safi.
 
Mkuu tumia *mobile tracker free* download google au click hapa .. https://mobile-tracker-free.com/login/?app=11 Baada ya kudownload install application hiyo kwa simu ya mhusika unayetaka upate sms zake za whatssap,sms,location ,calls ,n.k ni chaguo lako , hakikisha unainstall kwa simu ya mhusika unayetaka kufuatilia mawasiliano yake .

2. Nenda kwenye playstore kwa upande wa juu kushoto bonyeza hapo utaona email aliyosajilia basi ichukue na kuiweka pembeni,
Ukimaliza ifungue (mobile tracker free) tumia email hiyo na weka password ujuayo na jisajili .
Ukimaliza mpe simu yake ww tumia website ya mobile tracker kuingia na login kutumia email yake ..
Hii app haitakuwa inaonekana na mhusika aitilie shaka
 
mh yaani kama ningekuelewa ningefurahi mzee

email ya nani ?
how unaweza pata normal call kwa njia ya email au hata sms

weka sawa hapo
 
mh yaani kama ningekuelewa ningefurahi mzee

email ya nani ?
how unaweza pata normal call kwa njia ya email au hata sms

weka sawa hapo
Mkuu japo sijafanya ila naamini anamaanidha hivi!!
Ile application inakuwa kwenye simu ya muathirika, email yake inakuwa ipo pale so inakusanya habari zote katika simu ile!!

We unapokuja kulog in huku taarifa zake zote unakuwa nazo wewe... kifupi hiyo app inakuwa inakusanya habari zooote inaweka kumbukizi, so email inakuwa inakupa uwezo wa kuingia katika ile account ikiyohifadhiwa hayo mambo

Sijui kama nimeelewa sahihi!!
 
Nilivoelewa mimi...email address ya unayemdukua utaitumia kama username halafu utaweka password yako utakayo itumia ku log in kwa website
 
Mkuu tumia *mobile tracker free* download google au click hapa .. https://mobile-tracker-free.com/login/?app=11 Baada ya kudownload install application hiyo kwa simu ya mhusika unayetaka upate sms zake za whatssap,sms,location ,calls ,n.k ni chaguo lako , hakikisha unainstall kwa simu ya mhusika unayetaka kufuatilia mawasiliano yake .

2. Nenda kwenye playstore kwa upande wa juu kushoto bonyeza hapo utaona email aliyosajilia basi ichukue na kuiweka pembeni,
Ukimaliza ifungue (mobile tracker free) tumia email hiyo na weka password ujuayo na jisajili .
Ukimaliza mpe simu yake ww tumia website ya mobile tracker kuingia na login kutumia email yake ..
Hili ni bonge la app, mimi huwa nawachekaga tu rafiki zangu wanavyo jaribu kumtongoza mke wangu.

Pili imenisaidia kurudisha ktk familia viwanja vitatu alivyonunua mke wangu pasi na mimi kujua.
 
Back
Top Bottom