Mi sijaona sababu ya kununua ule ushenzi bei yote hio. Wanawapiga akina mama maana hela wanachukua kwetu tu wanachota hawajui uchungu wake. Unadhani huyo mate wako angeropoka bei halisi aliouziwa pangekalika?
Ni sawa iko unique ila bei zao kali wawauzie nyie mnaochota hela kwetu tu hata mkilipishwa 70 kwa kitu chenye ujazo wa lipstic mnaona sawa tu...Asikwambie mtu kitu ukiwa mjanja kuna kali kibao ambazo unaweza pata kwa bei nafuu kabisa na still ukawa unique.
Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.
Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.