Spray gani nzuri ya kiume

Word. Mkuu hebu gawa hayo maujanja, tunapataje madude ya ukweli kwa bei nafuu? i hate buying an item at a higher price while i could get same at lower price
Njia rahisi ni kununua kwenye Duty Free shops ukiwa unasafiri au kuagiza ndugu jamaa na marafiki wakiwa wanasafiri. Binafsi nina bahati naleta mzigo almost every week from EU so nikihitaji tu napata within a week.
 
achana na spray kamata perfume kabisa
epic adventure sh. 40000 mpaka 50000/-
Mkuu nimejaribu kuiulizia hii kitu kwenye maduka mbali mbali inaonekana ni adimu kidogo..
Kama unajua mahali nikienda ntaipata bila shaka nijuze tafadhali..
 
Mkuu nimejaribu kuiulizia hii kitu kwenye maduka mbali mbali inaonekana ni adimu kidogo..
Kama unajua mahali nikienda ntaipata bila shaka nijuze tafadhali..
upo dar au wapi?
 
Cheeeee!! Nielekeze Na Mie Nikanunue[emoji54]
 
Naona wataalam wa manukato katika ubora wenu! Pamoja Sana[emoji122][emoji122]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…